Kifo cha utata cha mwanafunzi wa KIUT akipambana kusomea udaktari

Na funzo kwa wanaume; Kama mwanamke umeshindwa kumhudumia amepata kidume kingine chenye uwezo wa kumhudumia, usimdhuru muache aende na wewe tafuta wa level yako. Kuuana uana kwa kisa cha mapenzi ni UDHAIFU, USHAMBA NA UBINAFSI. Mbona wanawake wapo wengi sana mitaani.
 
Mapenzi yana run dunia
 
Mzee baba unamuacha aende kama humpendi, lakini kama unampenda ni ngumu sana kumuacha, mawazo yanakuja mengi na options kibao, moja wapo ndo hiyo ni heri Ufe wewe au Afe yeye
 
Shida ni kwamba anaendelea kutusua miambili miambili zako, unakuja kugundua huku mtaji wako umeshaisha😂😂
 
hivi inakuaje mwanamke anang'ang'ania kuwa kwenye mahusiano toxic?,....
sometimes tunasumbuana bure, wakati mwenye makosa mkuu ni marehemu,.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…