mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Leo in siku ya tatu tukiwa tumegubikwa na sintomfahamu juu ya kifo hiki.
Marehemu alikuwa bukheri wa afya na alionekana Mara mwisho saa tatu na nusu alipoamua kwenda kulala alipita dukani akanunua mahitaji, asubuhi tunaambiwa Shaba Ndoja hatuko naye, ujasiri wa mke wake kumbeba yeye na mfanyakazi wa ndani bila hata kuwaita majirani wa karibu.
Mbaya zaidi hakujulisha majirani yaliyotokea. Hata mjane huyu anayefanya kazi Amref huwa hajumuiki na watu tangia alipoingia Bunju beach. Mpaka hapa wakina mama wameususia msiba kwa kuwa mwanamke aendagi kwenye misiba.
Maiti imesafirishwa leo kuelekea Dodoma kwao