RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Umeanza....!Kwani aliugua nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeanza....!Kwani aliugua nini?
umeandika kwa chuki kweli!, nilitegemea uoji sababu za kifo na nini kimekushitua, kumpeleka hospital watu wawili sio kosa ulitaka ushilikishwe?Leo in siku ya tatu tukiwa tumegubikwa na simtomfahamu juu ya kifo hiki.
Maremu alikuwa bukheri was afya na alionekana Mara mwisho SAA tatu na nusu alipoamua kwend kulala alipita dukani akanunua mahitaji, asubuhi tunaambiwa. Shaba Ndoja hatuko naye, ujasiri wa mke wake kumbeba yeye na mfanyakazi wa ndani bila hata kuwaita majirani wa karibu.
Mbaya zaidi hakujulisha majirani yaliyotokea. Hata mjane huyu anayefanya kazi Amref huwa hajumuiki na watu. Tangia alipoingia bunju beach. Mpaka haoa wakina mama wameususia msiba kwa kuwa mwanamke aendagi kwenye misiba.
Maiti imesafirishwa Leo kuelekea Dodoma kwao
Hivi Bongo mtu anayefariki kwenye mazingira kama hayo uchunguzi haufanyiki bila maombi? Kama ni hivyo basi ni kosa na tunatakiwa tubadilike. Nchi zilizoendelea kibali cha mazishi hakitolewi bila kwanza uchunguzi kufanyika. Na hii ni hata kwa wale waliolazwa hospital. Lazima kuwepo na uchunguzi wa aina fulani.Mkuu mkaombe autopsy tu hapo hamna namna. Ila kwenye hayo maelezo yako naona kisenti cha pensheni kileeeeee
Mnaambiwa kila siku oeni kwenu mnarusha rusha matako around...ndiyo
na ndiye aliyemtafutia hiyo kazi hapo tra
na birthday yake mke alimpa zawadi ya gari mpya huyo mtiaraei...infact wanapendana kama njiwa
Ushaanza upumbavu wakoMkewe ni mchaga?? Jibu likiwa ndiyo, Kuna jambo nataka kulieleza
Kuna mdau kadai ana ushahidi mama ni Mchagga....Weeee sio mchaga ni mgogo mwenzake, kila MTU yuko kivyake mpaka anakufa mama analala ghrofani baba analala chini, wangekuwa wanalala wrote kama nibheart attacks bangemsaidia
Huu sio umbea na upashkuna?Kuwa jasiri ni kosa?Wewe umewahi kwenda kwake akakufukuza au umbea na majungu tu?Watanzania muache tabia za kuumizwa na maisha ya watu.Leo in siku ya tatu tukiwa tumegubikwa na simtomfahamu juu ya kifo hiki.
Maremu alikuwa bukheri was afya na alionekana Mara mwisho SAA tatu na nusu alipoamua kwend kulala alipita dukani akanunua mahitaji, asubuhi tunaambiwa. Shaba Ndoja hatuko naye, ujasiri wa mke wake kumbeba yeye na mfanyakazi wa ndani bila hata kuwaita majirani wa karibu.
Mbaya zaidi hakujulisha majirani yaliyotokea. Hata mjane huyu anayefanya kazi Amref huwa hajumuiki na watu. Tangia alipoingia bunju beach. Mpaka haoa wakina mama wameususia msiba kwa kuwa mwanamke aendagi kwenye misiba.
Maiti imesafirishwa Leo kuelekea Dodoma kwao
Sio Kweli mama ni mtu wa Dodoma homboloKuna mdau kadai ana ushahidi mama ni Mchagga....
Sasa sijui yupi ni mkweli hapa...
Huyo lazma itakuwa ndo walewale wa upande ule[emoji23][emoji23][emoji23]mamaeee..... na keshaseti mamluki wa kumcover humu wanatema povu balaaKuna mdau kadai ana ushahidi mama ni Mchagga....
Sasa sijui yupi ni mkweli hapa...
Kumbe walishafikaa huku.?? Bhasi majanga...Weeee sio mchaga ni mgogo mwenzake, kila MTU yuko kivyake mpaka anakufa mama analala ghrofani baba analala chini, wangekuwa wanalala wrote kama nibheart attacks bangemsaidia
Labda alichanganya wine na panadol 10.Kwa nini useme mkewe kamuua. Inawezekana kajimudder mwenyewe. Hizi ndoa jamani.Ajaugua yaani alitoka zake kupata ka wine dorstof. Mida ya SAA tatubh hivi w akanunua mahitaji take, kaeñda kulala, asubuhi wafanyakazi wakaonabmtu afungu mlango kwenda kazini yapata SAA 12 wakaenda kumwamsha wakakuta wazamani
Ongeza wasambaa na wapare ni noma.Mkewe ni mchaga?? Jibu likiwa ndiyo, Kuna jambo nataka kulieleza
Hivi Bongo mtu anayefariki kwenye mazingira kama hayo uchunguzi haufanyiki bila maombi? Kama ni hivyo basi ni kosa na tunatakiwa tubadilike. Nchi zilizoendelea kibali cha mazishi hakitolewi bila kwanza uchunguzi kufanyika. Na hii ni hata kwa wale waliolazwa hospital. Lazima kuwepo na uchunguzi wa aina fulani.