Kifo chenye utata cha mfanyakazi wa TRA, Shaba Ndoja chastua wengi, Polisi chunguzeni

Kifo chenye utata cha mfanyakazi wa TRA, Shaba Ndoja chastua wengi, Polisi chunguzeni

Wanaume tuoe tu lakini hawa wenzetu sio kabisa. Kukuua kwa ajili ya mali ,kwao ni jambo la kawaida sana.
kuna mwanamke nilikua naishi naye ni mrembo haswa ila kila siku nikawa naumwa tumbo yani afya haikuwa stable kabisa baada ya kugombana alivyoondoka afya yangu ikalejea na magonjwa ya tumbo nimepona sasa sijui alikua ananilisha takataka gani mchaga yule
 
Huyo lazma itakuwa ndo walewale wa upande ule[emoji23][emoji23][emoji23]mamaeee..... na keshaseti mamluki wa kumcover humu wanatema povu balaa

Nyie ndo mnaofikiri kwa vipumulio vya nyuma kazi kueneza majungu chuki kwenye familia za watu na jamii kiujumla
 
Mnaambiwa kila siku oeni kwenu mnarusha rusha matako around...

Haya sasa,unaenda kuoa watu who do not look like you kumbe culture na DNA ndio kila kitu,leo limetokea la kutokea mnaanza kulia lia...

Mtajijua bwana!
Hiyo si sababu..hata .wachaga kwa Wachaga wanauana kisa mali..
 
Binafsi nikipewa mpare na fungu la nyanya ntachagua fungu la nyanya nikapikie! Wapare ni nyoko!
Yaani sina hamu na wanawake wa kipare. Kuna ndugu yangu alikuwa ndiyo nguzo ya familia yao akaoa mpare. Yule mwanamke akawa na hawara akawa anamtesa sana ndugu yetu. Ndugu yetu alikuwa na cheo Kikubwa sana IDM Mzumbe akawa ametoka mkutano AICC Arusha kufika home akala chakula kesho yake hakuamka. Cha kusikitisha hata 40 haikuisha yule mwanamke akamleta yule hawara ndani Yaani nyumba aliyojenga ndugu yetu. Akaanza kutawanya watoto kupeleka upareni kwa wazazi na the only son aliishia kuishi maisha mabovu na bangi juu. Cha kustaajabisha siku ya mazishi hakulala msibani na alipoondoka hakurudi tena na alirudi baada ya zaidi ya miaka 20 akaomba akaonyeshwe kaburi la Marehemu mumewe akaomba hapo maana eti huwa anamtokea usiku. Yaani hii ni laana.

Kisa cha pili ni binamu yetu naye alioa mke mpare akawa changudoa mpaka hata akisimamia ndoa ni mpaka amdake huyo mwanaume aliyesimamia ndoa yake. Akili ya mume ikawa zuzu hata kwao hakujenga bali alijengea wazazi upareni akatupa wazazi wake. Mama yake alisema "Anayetaka kuoa mpare aoe haraka maana akishaingia kaburini hakuna kizazi chake cha kwanza hadi cha nne kitaoa mpare tena ni mwiko mkubwa mno."
 
Weeee sio mchaga ni mgogo mwenzake, kila MTU yuko kivyake mpaka anakufa mama analala ghrofani baba analala chini, wangekuwa wanalala wrote kama nibheart attacks bangemsaidia
Siku ya kufa nyani miti yote huteleza bwana, hafu Kuna watu wanatembea na kufanya kila kitu Ila sio wazima kiafya
 
Back
Top Bottom