Yaani sina hamu na wanawake wa kipare. Kuna ndugu yangu alikuwa ndiyo nguzo ya familia yao akaoa mpare. Yule mwanamke akawa na hawara akawa anamtesa sana ndugu yetu. Ndugu yetu alikuwa na cheo Kikubwa sana IDM Mzumbe akawa ametoka mkutano AICC Arusha kufika home akala chakula kesho yake hakuamka. Cha kusikitisha hata 40 haikuisha yule mwanamke akamleta yule hawara ndani Yaani nyumba aliyojenga ndugu yetu. Akaanza kutawanya watoto kupeleka upareni kwa wazazi na the only son aliishia kuishi maisha mabovu na bangi juu. Cha kustaajabisha siku ya mazishi hakulala msibani na alipoondoka hakurudi tena na alirudi baada ya zaidi ya miaka 20 akaomba akaonyeshwe kaburi la Marehemu mumewe akaomba hapo maana eti huwa anamtokea usiku. Yaani hii ni laana.
Kisa cha pili ni binamu yetu naye alioa mke mpare akawa changudoa mpaka hata akisimamia ndoa ni mpaka amdake huyo mwanaume aliyesimamia ndoa yake. Akili ya mume ikawa zuzu hata kwao hakujenga bali alijengea wazazi upareni akatupa wazazi wake. Mama yake alisema "Anayetaka kuoa mpare aoe haraka maana akishaingia kaburini hakuna kizazi chake cha kwanza hadi cha nne kitaoa mpare tena ni mwiko mkubwa mno."