Kifo chenye utata cha mfanyakazi wa TRA, Shaba Ndoja chastua wengi, Polisi chunguzeni

Kifo chenye utata cha mfanyakazi wa TRA, Shaba Ndoja chastua wengi, Polisi chunguzeni

Sawa mkuu, mi nimeokota haya kwene maelezo yako;

ยปMama ni mjamzito anahitaji utulivu, hataki usmbufu (kutoka kwa baba[emoji26]!?).

ยปMzee yy kaamua kujitenga,analal chin pekeake, ili afanye kaz kwa utuliv ila akipata ham anapanda juu, anapeana fasta na kurudi chin kuendelea na kaz([emoji56]).

ยปMarehem na mkew walikuwa "wanawezana" (bila shaka ukimaanisha wanapendana)[emoji848]
Yes mkuu kama mtihani umepata100%.
 

Attachments

  • IMG-20191206-WA0045.jpg
    IMG-20191206-WA0045.jpg
    38.6 KB · Views: 1
  • IMG-20191206-WA0044.jpg
    IMG-20191206-WA0044.jpg
    51.6 KB · Views: 1
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€Una shida nao gani? Kuna mwingine hapa Ana hangover balaa anatapika tu...sema neno moja nimwambie!
Hahahaha dah ila wewe! Basi tu, huyo mwana CCM was kudumu mwambie salary imeongezwa, wamepandishwa madaraja, wamelipwa malimbikizo yao including likizo, mwambie asisahau kupiga kura tena watapewa zile 50m na laptop kila mtu.
 
Sasa utata wa hicho kifo upo wapi?


Kama mtu amebakiza mwaka kustaafu inamana huyo ni mzee, basi uenda alikuwa na maradhi yake kama presha, kisukari au moyo ndo yamemchukua uhai wake
Na alibakiza aiku chache kufariki!
 
Back
Top Bottom