Swala la kulala mke na mme vyumba tofauti ina mambo mengi not only kuwa wamegombana wakuu.
Utakuta watu wana nyumba ina vyumba zaidi ya vitano na wana watoto wawili au watatu ,kuna kipindi mama anakuwa mjamzito au amejifungua ,lazima awe na chumba chake alale kwa kujirelax.
Vyumba masters vinakuwa full equipped na TV ndani , Mshua anakuwa awe free kufanya kazi zake za kiofisi ,kuongea kuhusu bizness ,kufanya meeting online lazima awe free kwake akitulia , ushawahi kufanya kazi halafu mtu unamuona kitandani amelala hauoni concentration itapungua?
Kulala vyumba tofauti haimaanishi kwamba "Hamuwezani" ,mnaweza kulala kitanda kimoja na "Msiwezane" ,Kuna watu wametenga kabisa chumba cha "kuwezana only" wakimaliza "kuwezana" kila mtu anaenda kulala chumba chake au Mme au mke anaweza kwenda chumba cha mwenzake "akampea" wakishamaliza anaenda chumba chake kulala.