mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
ndiyo
na ndiye aliyemtafutia hiyo kazi hapo tra
na birthday yake mke alimpa zawadi ya gari mpya huyo mtiaraei...infact wanapendana kama njiwa
Hajaugua yaani alitoka zake kupata ka wine dorstof. Mida ya SAA tatu hivi w akanunua mahitaji take, kaeñda kulala, asubuhi wafanyakazi wakaona mtu afungu mlango kwenda kazini yapata SAA 12 wakaenda kumwamsha wakakuta wazamaniKwani aliugua nini?
Weeee sio mchaga ni mgogo mwenzake, kila MTU yuko kivyake mpaka anakufa mama analala ghrofani baba analala chini, wangekuwa wanalala wrote kama nibheart attacks bangemsaidiandiyo
na ndiye aliyemtafutia hiyo kazi hapo tra
na birthday yake mke alimpa zawadi ya gari mpya huyo mtiaraei...infact wanapendana kama njiwa
Marehemu amebakiza mwaka mmoja kustaafu, alikuwa anafanya kazi mwenge TRA wakamrudisha makao makuu kusubiri kustaafuMkuu tulia unyooshe maelezo.
Je marehemu alikuwa na ukwasi wwote?
Je huyo mjane ni wa maeneo ya kule mbelembele ya Tanga au?
Mkuu mkaombe autopsy tu hapo hamna namna. Ila kwenye hayo maelezo yako naona kisenti cha pensheni kileeeeeeMarehemu amebakiza mwaka mmoja kustaafu, alikuwa anafanya kazi mwenge TRA wakamrudisha makao makuu kusubiri kustaafu
Ndiyo mitaaa hiiyo haijawai tokeaNi kifo cha kwanza cha ghafla!?
unaonekana unajua chanzo ,njoo kituo Cha polisiWeeee sio mchaga ni mgogo mwenzake, kila MTU yuko kivyake mpaka anakufa mama analala ghrofani baba analala chini, wangekuwa wanalala wrote kama nibheart attacks bangemsaidia