Kifo chenye utata cha mfanyakazi wa TRA, Shaba Ndoja chastua wengi, Polisi chunguzeni

umeandika kwa chuki kweli!, nilitegemea uoji sababu za kifo na nini kimekushitua, kumpeleka hospital watu wawili sio kosa ulitaka ushilikishwe?
 
Mkuu mkaombe autopsy tu hapo hamna namna. Ila kwenye hayo maelezo yako naona kisenti cha pensheni kileeeeee
Hivi Bongo mtu anayefariki kwenye mazingira kama hayo uchunguzi haufanyiki bila maombi? Kama ni hivyo basi ni kosa na tunatakiwa tubadilike. Nchi zilizoendelea kibali cha mazishi hakitolewi bila kwanza uchunguzi kufanyika. Na hii ni hata kwa wale waliolazwa hospital. Lazima kuwepo na uchunguzi wa aina fulani.
 
ndiyo

na ndiye aliyemtafutia hiyo kazi hapo tra

na birthday yake mke alimpa zawadi ya gari mpya huyo mtiaraei...infact wanapendana kama njiwa
Mnaambiwa kila siku oeni kwenu mnarusha rusha matako around...

Haya sasa,unaenda kuoa watu who do not look like you kumbe culture na DNA ndio kila kitu,leo limetokea la kutokea mnaanza kulia lia...

Mtajijua bwana!
 
Weeee sio mchaga ni mgogo mwenzake, kila MTU yuko kivyake mpaka anakufa mama analala ghrofani baba analala chini, wangekuwa wanalala wrote kama nibheart attacks bangemsaidia
Kuna mdau kadai ana ushahidi mama ni Mchagga....

Sasa sijui yupi ni mkweli hapa...
 
Huu sio umbea na upashkuna?Kuwa jasiri ni kosa?Wewe umewahi kwenda kwake akakufukuza au umbea na majungu tu?Watanzania muache tabia za kuumizwa na maisha ya watu.
 
Kuna mdau kadai ana ushahidi mama ni Mchagga....

Sasa sijui yupi ni mkweli hapa...
Huyo lazma itakuwa ndo walewale wa upande ule[emoji23][emoji23][emoji23]mamaeee..... na keshaseti mamluki wa kumcover humu wanatema povu balaa
 
Weeee sio mchaga ni mgogo mwenzake, kila MTU yuko kivyake mpaka anakufa mama analala ghrofani baba analala chini, wangekuwa wanalala wrote kama nibheart attacks bangemsaidia
Kumbe walishafikaa huku.?? Bhasi majanga...
 
Ajaugua yaani alitoka zake kupata ka wine dorstof. Mida ya SAA tatubh hivi w akanunua mahitaji take, kaeñda kulala, asubuhi wafanyakazi wakaonabmtu afungu mlango kwenda kazini yapata SAA 12 wakaenda kumwamsha wakakuta wazamani
Labda alichanganya wine na panadol 10.Kwa nini useme mkewe kamuua. Inawezekana kajimudder mwenyewe. Hizi ndoa jamani.
 
Mtoa.mda.huu mwandiko wako Leo n shida


Anyway marehemu angechukua ushaur wa uchebe asingekufa kirahisi

Angempiga mkewe akiwa usingizi kama uchebe tu nadhan mwanamke angekimbia nyumba
 
Ya Mungu mengi,

Angetuwekea expiry date sijui kama tungehimili, hivyo tutaondoka tofauti tofauti. Iwe uko kifuani kwa my love wako, kwenye ndenge, baharini n.k
 

Kwenye cheti cha kifo huwa wana andika sababu ya kifo. Hivyo kunakuwaga na uchunguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…