Reina princess
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 1,322
- 1,502
Hata nikikutajia experience yangu utaikataa. Utasema sina shukrani kwa walionisaidia.Umesema unaamini kwamba mungu yupo kwa experience, ni experience gani hiyo inayokufanya uamini kwa mantiki?
Hujaitaja.
Mimi nishaeleza kwamba mungu wenu huyu muumba vyote, mwenye ujuzi wote, uwezo wote na uoendo wote hawezi kuwepo.
Kwa sababu anajipinga yeye mwenyewe (the idea) kuwepo kabla mimi sijampinga.
Okay. Uumbaji wa mwanadamu kuanzia mbegu mpaka mtoto anapokamilika. Mungu anahusika.Mungu unayemuamini wewe ni yupi?
Kitu gani specifically - a vague answer like "experience" is insufficient I am afraid, I want to examine specifics- kinakufanya uamini kwamba yupo na si hadithi tu?
Of course huwezi kutupa details zichambuliwe.Hata nikikutajia experience yangu utaikataa. Utasema sina shukrani kwa walionisaidia.
Kila siku watu humu wanatoa uzoefu wao kuhusu Mungu mnakataa.
Sidhani kama nitakuwa na jipya.
Okay. Uumbaji wa mwanadamu kuanzia mbegu mpaka mtoto anapokamilika. Mungu anahusika.
Hahaha...nilijua kutakuwa na mvua ya maswali.Hujaeleza anahusikaje.
Kwa nini ni mungu.
Kwa nini ni mungu tu, na si kingine chochote.
Watoto wengi sana wanakufa kabla ya kuzaliwa.
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote awanyime hawa nafasi ya kuishi wakati mungu huyu ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote na angeweza kuwapa nafasi ya kuishi bila kupungukiwa chochote?
Hujaelewa swali.Hahaha...nilijua kutakuwa na mvua ya maswali.
Kwanza sijasema ni Mungu tu anahusika.
It's not all up to God and definitely not all up to us. Everyone has a role to play.
Sasa mtu akipata ujauzito akanywa mipombe au akapigwa, huyo mtoto atakuwa salama kweli? Utasema Mungu kamuua?
Nature, fate vina role pia
Mbona nimekujibu?Hujaelewa swali.
Swali ulilojibu si nililouliza.
Kabla watu kuwapo, alikuwapo mungu. Kwa mujibu wenu.
Swali langu linahusika na misimgi ya ulimwengu ilivyowekwa kabla ya watu kuwapo, huwezi kuwalaumu watu kwa matendo yao wakati mungu ndiye katia mipaka ya kipi kinawezekana na kipi hakiwezekani.
Pia, mnayemsema mungu anayeacha mabaya yatokee kwa watoto kwa sababu ya makosa ya wazazi, wakati ana uwezo wa kuzuia hayo, ni mungu kweli huyu? Ana upendo kweli huyu?
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hakuumba ulimwengu ambao watoto wasio na hatia hawawezi kufa kwa ulevi wa mama zao?
Better yet, kwa nini hakuumba ulimwengu ambao ulevi hauwezekani?
Hakuweza kuumba ulimwengu huo?
Au aliweza hakutaka tu?
Kama hakuweza, ni kweli ana uwezo wote?
Kama aliweza, ila hakutaka tu, ni kweli ana upendo wote?
Unaongelea watu.Mbona nimekujibu?
Sasa wewe ulitaka watu waishi ishi watakavyo na kukiuka kanuni za maisha alafu waje kumlaumu Mungu?
Kuna kitu kinaitwa utashi. Mungu katupa utashi wa kuamua kutenda jema au baya. Kila utakachofanya kina consequences
Nimekujibu lakini hutaki kuliona jibu langu.Unaongelea watu.
Swali langu halihusu watu, linahusu mungu kama mnavyodai alivyouumba ulimwengu, kabla watu hawajakuwapo.
Kwa nini aliumba ulimwengu ambao mtoto asiye hatia anaweza kufa kwa makosa ya mama yake wakati ambapo mungu huyu angeweza kuumba ulimwengu ambao mtoto asiye na hatia hawezi kufariki kwa makosa ya mama yake?
Hujajibu swali hili, kama hata umelielewa.
Nimekuuliza habari ya mungu alivyopanga, kabla watu hawajaumbwa.Nimekujibu lakini hutaki kuliona jibu langu.
Nimekwambia it's not all up to God, sisi wenyewe tuna role yetu ya kuplay.
That's what it is. Kama hutaki siwezi kukulazimisha.
Kwani imani ni nini?
Mungu sio physical mpaka useme umemuona au kumgusa. Lakini kupitia imani anajidhihirisha kwetu na tunamjua.
Wewe unaamini au unajua kuwa kuna sayari inayoitwa Jupiter?
Ngoja nitarudiHayo chini ndo maswali niliyokuuliza.
Hujajibu hata moja!
Ngoja nijaribu tena:
1]Kama huyo mungu tayari una tajiriba/ uzoefu naye, iweje tena uamini kwamba yupo?
2]Sasa kama yupo kweli [kwa mujibu wa hiyo tajiriba/ uzoefu wako kwake na kwa maisha ya wengine], kwa nini unaamini, na si kujua, kwamba yupo?
3]Vilivyopo huwa vinaaminika au huwa vinajulikana kuwa vipo?
4]Au hayo maneno 'kuamini na kujua' huwa yanatumika interchangeably?
NitarudiNimekuuliza habari ya mungu alivyopanga, kabla watu hawajaumbwa.
Kwa nini mungu alipanga hivi na si vingine.
Utasemaje it is not up to god?
Una maana mungu hakuumba ulimwengu?
Kama aliumba, utasemaje kanuni alizotumia kuumba ulimwengu hatuwezi kuuliza kwa nini kaumba hivi na si vile?
Naenda kunywa chai akili ichaji vizuri....teh tehUnaenda kutafuta majibu😀?
Naenda kunywa chai akili ichaji vizuri....teh teh
Ah wapi...sio magumu sema nasikia njaa kinoma.Ina maana hayo maswali ni magumu hivyo?