Reina princess
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 1,322
- 1,502
Hata nikikutajia experience yangu utaikataa. Utasema sina shukrani kwa walionisaidia.Umesema unaamini kwamba mungu yupo kwa experience, ni experience gani hiyo inayokufanya uamini kwa mantiki?
Hujaitaja.
Mimi nishaeleza kwamba mungu wenu huyu muumba vyote, mwenye ujuzi wote, uwezo wote na uoendo wote hawezi kuwepo.
Kwa sababu anajipinga yeye mwenyewe (the idea) kuwepo kabla mimi sijampinga.
Kila siku watu humu wanatoa uzoefu wao kuhusu Mungu mnakataa.
Sidhani kama nitakuwa na jipya.