Kifo hakipangwi na Mungu

Kifo hakipangwi na Mungu

Yup....we are open-minded, rational, and reasonable!



Mimi naona atheists ni bora mara mia kuliko theists.

Walau atheists wanatumia akili/ mantiki katika kupinga uwepo wa mungu.

Theists wao ni mwendo wa hisia na mambo ya kufikirika tu. Matumizi yao ya akili ni kidogo sana. Wengine hata tofauti ya kujua na kuamini hawaijui.
Tofauti ya kujua na kuamini ni ipi?
 
Kuamini ni kukubali bila uchunguzi.

Kujua ni kukubali kitu baada ya uchunguzi fanaka wenye marudio ya kimantiki.
Kwahiyo vyote ambavyo watu tunavijua ni vile ambavyo tumevifanyia uchunguzi ?
 
Yeyote asemaye kwamba kifo hakipangwi na Mungu basi mtu huyo hana Mungu na wala hamjui Mungu. Kwa kifupi no kwamba Mungu ndiye mwenye kutoa uhai na kuhuisha
 
Yeyote asemaye kwamba kifo hakipangwi na Mungu basi mtu huyo hana Mungu na wala hamjui Mungu. Kwa kifupi no kwamba Mungu ndiye mwenye kutoa uhai na kuhuisha

Zaburi 90:10 hayo ndio mapenzi ya Mungu, Mungu akusaidie umjue sio tu umsikie kwa wengine.
 
Nimesikiliza watu wengi mtu akifa wanasema "Mungu amepanga". Uongo huu umepita kizazi hata kizazi ili tufarijike katiba misiba.

Ukweli ni huu, Mungu hapangi kifo cha mtu chini ya miaka 70. Mtu anayekufa akiwa na miaka zaidi ya 70 ni mapenzi ya Mungu.

Mungu hana kitabu ameandika aina ya kifo cha mtu chini ya miaka 70. Watu wanakufa kutokana na aina ya maisha wanayo ishi, mazingira wanayoishi na imani za kishetani.
Cjakuelewa
 
Unaweza kutoa mfano?

Pia, sijaishia kwenye uchunguzi tu, nimeandika uchunguzi fanaka wenye mantiki marudio.
Ndio nataka kuelewa vizuri,hivyo vile tunavyo vijua kwa maelezo yako ni vile ambavyo tumevifanyia uchunguzi fanaka wenye mantiki?kwa maana hiyo kinyume na hivyo huko si kujua?
 
Aliesababisha kifo kwa mwanadam ni shetani na mtawala wa dunia kwa sasa ni shetani baada ya kufukuzwa mbinguni naamini kuwa anuwezo wa kuua.Mungu alimwambia mjaribu lakini usiguse maisha yake (Ayubu)
Kwann sasa mungu amuache shetani akiua watu wake? Au shetan ana nguvu na uwezo kulko mungu?
 
Yeyote asemaye kwamba kifo hakipangwi na Mungu basi mtu huyo hana Mungu na wala hamjui Mungu. Kwa kifupi no kwamba Mungu ndiye mwenye kutoa uhai na kuhuisha
hebu fikiria vizuri ulichokiandika maana ulichokiandika kinanifanya nimfikirie vibaya mungu wako...!
 
Kiukweli ninavojua mimi kifo hakipangwi na mungu!! Kwanza kabisa tunatakiwa kujua kusudi la mungu hapo awali lilikuwa tuje kuish dunian milele,siku zote yeye anaupendo hvyo hawezi kusababisha kifo!!na inabidi tutambue kwamba mtawala wa sasa katika dunia ni ibirisi shetani!! Ndio maana kuna vita,njaa matatizo na magonjwa!! Mungu ameweka wakati ambao atamfunga shetani miaka 1000...!!!nisiende mbali sana hebu chukua mfano mmoja kama deleva wa gari ameambiwa kupakia mwisho tani 10 yeye akazidisha mzgo na akapata ajari inayopelekea kifo chake je kifo hicho kitakuwa mpango wa nan!!?.....mungu anauwezo wa kuzuia yote haya lakin kwa sababu dhambi ya adam na hawa ilitendeka na wote tutakufa!! Ila sio kwamba anaetuua ni yeye!!! Kama umri wako wa kufa ukifika unakufa!! Bali wanaokufa kabla ya umri uliopangwa na mungu vifo hivyo havijasababishwa na yeye
 
Cjakuelewa

pola sana, ok kwa kifupi ukisoma nilichoandika hapo awali ni hivi, mapenzi ya Mungu kwako na kwangu ni kuishi miaka 70 na zaidi ndio tufe. Lakini ukifa chini ya miaka 70 sio mapenzi ya Mwenyenzi Mungu. Vifo vinavyo tokea chini ya miaka 70 vinasababishwa na watu na mazingila yao na uzembe wao na ujinga wao wa kupenda utajili na madaraka na imani za kishetani.
 
Back
Top Bottom