Mtumishi. Mimi Niungane na Wewe Hasa Mistari Ya Mwisho, Niukweli Kabisa, Asili Ya Vifo ni Ukiukwaji wa Amri za Mungu.
Maana Mungu Anasema Ukizitenda Amri Zake Utaishi, Na Siku Zako Zitaongezwa Yaani Kuishi Maisha Marefu.
Vifo Vimekuwa Vingi Kutokana Na Mabadiliko Ya Tabia, Hasa Kumwasi Mungu, na Kutokwenda Kwenye Sheria Yake.
Magonjwa Yameongezeka. Vifo Vimekuwa Vingi, Vijana Wadogo Wanakufa. Na Mungu Ameweka Kikomo Cha Umri wa Mwanadamu Kuwa ni Miaka 120 Japo Daudi Kutokana na Majaribu Akakata Tamaa Na Kusema Mwiso Wake Ni Miaka 70 lakini Miaka Ya Mungu Ipo Pale Pale 120.