Kifo hakipangwi na Mungu

Mkuu naomba References tafadhal ili uweze kunshawish mana hk n ktu kipya kwangu
 
I think hapa mnajisemea tu. Lakini hakuna maandiko kusadikisha hii...
 
Na kama kwa Mungu hakuna kifo kwa mini watu , wanyama na viumbe vinginevyo hufa na kutowrka kabisa? na he huwa wanaenda wapi.Mwenye akili timamu na kujua uweza wa Mungu lazima atafakari hili.
 
Naomba jiulize .Je Adam na Eva na wote waliotangulia kwa Muumba wamekufa kimakosa?

Na kama kwa Mungu hakuna kifo kwa mini watu , wanyama na viumbe vinginevyo hufa na kutowrka kabisa? na he huwa wanaenda wapi.Mwenye akili timamu na kujua uweza wa Mungu lazima atafakari hili.

Hivi wewe unasoma yanayoandikwa au unaandika tu vitu? Hivi unajua ni mada gani tunadiscuss hapa? Unaonekana wewe ni mtu wa kukurupuka tu, hebu tulia na soma mada hii ili uelewe.
 
Sema "UNAVYOAMINI"! Sio useme"UNAVYOJUA"
 
Kuna wale watoto wachanga wnaokufa mara tu baada ya kuzaliwa, je nao huwa wamemkosea nn huyo mungu.?
 
Mfano akishindwa kuthibitisha je,ndio itakuwa ushahidi wa kuwa hakuna mungu?

Umekurupukia swali ambalo hujaulizwa wewe

Haya thibitisha sasa uwepo wa Mungu wako

Kama huna uthibitisho wowote,kwanini unataka waungwana nao waamini usichokijua?
 
Umekurupukia swali ambalo hujaulizwa wewe

Haya thibitisha sasa uwepo wa Mungu wako

Kama huna uthibitisho wowote,kwanini unataka waungwana nao waamini usichokijua?
Wapi nimesema sina uthibitisho wowote?
Tatizo unajiona una akili sana, hebu itumie basi hiyo akili.
 
Mkuu yaani hii hoja yako inanifanya nijiuluze maswali mengi ambayo Mara atheists huwa wanauliza. Ebu ipotie tena hoja yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…