Hujui kinachojadiliwa hapa?wewe umeanza kusema hapahapa kwamba watu hawajui maana ya imani,ndiyo nilipotaka kujua hiyo maana ya imani,ukatoa tafsiri ya neno imani ila umeshindwa kutoa mfano hata mmoja na sasa unaona nipo nje ya mada baada ya kushindwa kutoa mifano.Kwani hapa tunajadili imani ya nini? Dini au?
Unaweza kuonesha sehemu niliyojadili dini humu?Wakuu wamejichanganya! tunajadili kifo hakipagwi na Mungu chini ya miaka 70 na SIO DINI.
Kwa sababu hiyo BWANA wa majeshi asema hivi, ‘Tazama, nitawaadhibu watu hawa; vijana watakufa kwa upanga; wana wao na binti zao watakufa kwa njaa’ (Yeremia 11:22. Manenomepesi kukazia).
BWANA wa majeshi asema hivi, ‘Tazama, nitaleta juu yao upanga, na njaa, na tauni, nami nitawafanya kuwa kama tini mbovu zisizoweza kuliwa, kwa kuwa ni mbovu’ (Yeremia 29:17).
Mwanadamu! Nchi itakapofanya dhambi na kuniasi kwa kukosa, nikaunyosha mkono wangu juu yake na kulivunja tegemeo la chakula chake, na kuipelekea njaa, na kukatilia mbali mwanadamu na mnyama … (Ezekieli 14:13. Maneno mepesi kukazia).
Mlitazamia vingi, kumbe vikatokea vichache; tena mlipovileta nyumbani nikavipeperusha. Ni kwa sababu gani? Asema BWANA wa majeshi. Ni kwa sababu ya nyumba yangu inayokaa hali ya kuharibika, wakati ambapo ninyi mnakimbilia kila mtu nyumbani kwake. Basi, kwa ajili yenu mbingu zimezuiliwa zisitoe umande, nayo nchi imezuiliwa isitoe matunda yake. Nami nikaita wakati wa joto uje juu ya nchi, na juu ya milima, na juu ya nafaka, na juu ya divai mpya, na juu ya mafuta, na juu ya kila kitu itoacho nchi, na juu ya wanadamu, na juu ya wanyama, na juu ya kazi zote za mikono (Hagai 1:9-11. Maneno mepesi kukazia).
Unaweza kuonesha sehemu niliyojadili dini humu?
Mkuu oxyjen sio uhai, uhai umetoka kwa Mungu na mtu kuwa hai haitokani na oxyjen bali uhai uliondani yake toka kwa Mungu. Oxygen imetengenezwa na binadamu, ndio sababu huwa wanasema amewekewa oxygen "kumsaidia" so oxygen inasaidia na sio kwamba ndio uhai wenyewe... wataalamu wanakupa ufafanuzi zaidi.
Yesu alikufa akiwa na 33 yrs only....hilo unalizungumziaje mkuu..?
Au naye ali_mess up ndio maana kilimpitia kabla ya kufikia hiyo 70 yrs unayodai.
Jielimishe kabla ya kupost upupu hapa.
Mungu sliseme sababu wanadamu wana dhambi wataishi miaka 70 nawakiwa kwenye nguvu 80 lakini sio limit hiyo Mungu aliiona hiyo miaka ni michache sana kwa mwanadamu ndio maana kuna amri inasa uwaheshimu wazazi wako ili update baraka na miaka mungu duniani, Pia Yesu alikufa mapema kwa sababu ya dhambi za wanadamu inamaana aliubeba uovu wa wanadamu ndio maana kabla hajafa wakati anateswa alisema baba yangu baba yangu mbona umeniacha? Ni kwaajili ya dhambi alizozibeba. So kinachochangia mtu afe mapema pia ni uovu wa mtu ndio ninapoona 99% ni shetani.
hewa in hitaji la kwanza kwa uhai wa binadamu kwa hiyo oxygen inauhai. Mtu hospitali anaposhindwa kupumua au kuvuta hewa hufa, ndio maana hupewa oxygen ili aendelee kuishi. kwa kusema hivyo sina maana kuwa oxygen ni Mungu.
Go ahead.
U
Even better. Niombeee nife kesho. Nisije JF kujibu hii thread. Ili kuwepo na uwezo wa wote kuthibitisha.
Unaweza kufanya hivyo ili kuthibitisha uwepo wa mungu?
Hahahaah keep on waiting ipo siku watakuja na uthibitisho huenda bado wanatafiti pia
Nimempa siku moja kutimiza.Samahani mkuu kiranga ila bora tu ungemuuliza muheshimiwa huyo eti hayo maombi yenyewe yatachukuwa mda gani mpaka kujibiwa.na anakuombea kwa mungu yupi. Isije kuwa majibu yatapatikana kwa imani hata miaka mia mbele.
Kiranga atasubiri sana .......
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao insurbodination inawezekana?Nyie ndio hata maandiko matakatifu huwa hamsomi. Kifo kililetwa na wanadamu wenyewe as a result of insubordination. So ukisoma Kitabu cha Mwanzo 2:16-17 utaona Mungu anamuambia mwanadamu kwamba akila tunda la katikati hakika atakufa.
Wale walio kwenye utumishi wa umma wanaofahamu standing order zinasemaje watakubaliana na mimi kwamba Insubordination Adhabu yake ni summary dismissal,hakuna cha kuundiwa tume wala nini, basi na Mungu alifanya vivyo hivyo.
Utaishi milelemimi mambo ya kifo sijui