Kifo kinaonekana kabla hakijatokea, hakuna kifo cha ghafla

God Fearing Person

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2020
Posts
767
Reaction score
2,570
Kutokuwa na uwezo wa kuwa intuitive ndo watu husema MTU Fulani amekufa ghafla.

Kama ilivyo dalili za wewe kuja duniani (kuzaliwa) ndivyo zilivyo dalili za kifo.

Mtangazaji aliyefariki alitoa dalili zote kuwa her days are numbered.

Na yule naodha wa jahazi wa mawingu the same alitoa dalili zote za kuaondoka.

Ntarudi kuelezea mambo kumi yatayokutokea kabla ya kifo chako ili ufanye maandalizi mapema.
 
“Life's but a walking shadow, a poor player, That struts and frets his hour upon the stage, And then is heard no more. It is a tale Told by an idiot, full of sound and fury, Signifying nothing.” William Shakespeare
 
Kutokuwa na uwezo wa kuwa intuitive ndo watu husema MTU Fulani amekufa ghafula.

Kama ilivyo dalili za wewe kuja duniani (kuzaliwa) ndivyo zilivyo dalili za kifo.

Mtangazaji aliyefariki alitoa dalili zote kuwa her days are numbered.

Na yule naodha wa jahazi wa mawingu the same alitoa dalili zote za kuaondoka.

Ntarudi kuelezea mambo kumi yatayokutokea kabla ya kifo chako ili ufanye maandalizi mapema .
Umenikumbusha siku nne zilizopita nilienda kumjulia hali mgonjwa.Akawa hataki kuniangalia machoni.Kesho yake akaaga dunia.
 
Kutokuwa na uwezo wa kuwa intuitive ndo watu husema MTU Fulani amekufa ghafula.

Kama ilivyo dalili za wewe kuja duniani (kuzaliwa) ndivyo zilivyo dalili za kifo.

Mtangazaji aliyefariki alitoa dalili zote kuwa her days are numbered.

Na yule naodha wa jahazi wa mawingu the same alitoa dalili zote za kuaondoka.

Ntarudi kuelezea mambo kumi yatayokutokea kabla ya kifo chako ili ufanye maandalizi mapema .
No one knows tomorrow.
 
Mtu anayeona dalili ya kufa ni yule anayeumwa sana, tofauti na hapo.... haiwezekani.

Zaidi ni kwamba watu wataokota visa vya mambo flani ya kugusa aliyofanya marehemu muda mchache kabla ya kufa.
Mfano ile hotuba ya maghufuli ya 'mtanikumbuka'? ilivyochukuliwa na watu baada ya kifo chake.

Au labda flani alikuwa anakudai pesa kwa muda mrefu, ukafa punde baada ya kumlipa... wengi watasema ulijua kuhusu kifo chako.

Kitaalamu wanaita 'confirmation bias'.
 
Kutokuwa na uwezo wa kuwa intuitive ndo watu husema MTU Fulani amekufa ghafula.

Kama ilivyo dalili za wewe kuja duniani (kuzaliwa) ndivyo zilivyo dalili za kifo.

Mtangazaji aliyefariki alitoa dalili zote kuwa her days are numbered.

Na yule naodha wa jahazi wa mawingu the same alitoa dalili zote za kuaondoka.

Ntarudi kuelezea mambo kumi yatayokutokea kabla ya kifo chako ili ufanye maandalizi mapema .
Kwa hiyo hata ukiwa unatembea barabarani gari ikapoteza muelekeo ikakugonga ukafa hiyo sio kifo ya ghafla, marehemu anakua tayari alishaona hicho kifo? Ama usiku umelala ghafla mvua kubwa ikatokea mafuriko ukafa unakua tayari ulishakiona hicho kifo? Ama umelala ama umekaa ikatokea tetemeko la ardhi ghafla nyumba zikaanguka na kuua watu hicho kifo marehemu wanakua walishakiona tayari kabla?
 
Back
Top Bottom