JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,868
- 6,453
Sawa bwana iZraeli! Tunakusubiri utupe muongozo wa kukikwepa kifoKutokuwa na uwezo wa kuwa intuitive ndo watu husema MTU Fulani amekufa ghafula.
Kama ilivyo dalili za wewe kuja duniani (kuzaliwa) ndivyo zilivyo dalili za kifo.
Mtangazaji aliyefariki alitoa dalili zote kuwa her days are numbered.
Na yule naodha wa jahazi wa mawingu the same alitoa dalili zote za kuaondoka.
Ntarudi kuelezea mambo kumi yatayokutokea kabla ya kifo chako ili ufanye maandalizi mapema .