Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Wengi huwa wanakuwa hvyo,wanapata kiaibu fulaniUmenikumbusha siku nne zilizopita nilienda kumjulia hali mgonjwa.Akawa hataki kuniangalia machoni.Kesho yake akaaga dunia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi huwa wanakuwa hvyo,wanapata kiaibu fulaniUmenikumbusha siku nne zilizopita nilienda kumjulia hali mgonjwa.Akawa hataki kuniangalia machoni.Kesho yake akaaga dunia.
ni uongo mkubwa kusema kuwa siku ya kufa lazma ujue,hakuna aliye experience hili jambo na akaja kusema nlipotaka kufa nikajua hakuna kila mtu atakufa kivyake na chanzo cha kifo kinatofautiana,ajari,magonjwa,mauaji na kifo kisicho na sababu kipo.Hujaelewa, siri ya kifo hutoijua. Ila Siku ya Kufa ikifika lazima ujue tu.
Soma (Yohana 5:24)Hapa sijakuelewa
kuna mtu alikwambia kuwa ukitaka kufa nafsi inahisi?mana mtu akifa harudi ww hii knowledge ulitoa wapi ili hali hujafa?Kuna mtu nashindwa kurudi nmtag...kazngumza kuhusu boda boda au gari kuacha njia likugonge iko hiviii
Kiuhalisia nafsi waga ina tabia ya kunusa au kujua jambo fulani kabla halijatokea
Ndo ile unakuta unataka kwenda pahali ila mwili na akili inagoma kabsa,inaweza ikawa hata dukani ajabu mwili utashikwa na hofu sana...ukishindana sana na hiyo hali matokeo yake ni alienda tu kuchukua vocha dukani
Kwa hiyo wazee ni kweli,dalili waga zinakuja kabla hujakata roho,yaani mhusika anafahamu nini kitatokea.
Tena hao ndo zinkuaga wazi wazi bila mashaka.Kwa wale wanaokufa kwa ajali, nao wana dalili ambazo huonekana kabla ya vifo vyao?
Ingekuwa ni hivyo hao wanaokata roho kabla hawajafa wangekua wanatoka baru balaaKutokuwa na uwezo wa kuwa intuitive ndo watu husema MTU Fulani amekufa ghafla.
Kama ilivyo dalili za wewe kuja duniani (kuzaliwa) ndivyo zilivyo dalili za kifo.
Mtangazaji aliyefariki alitoa dalili zote kuwa her days are numbered.
Na yule naodha wa jahazi wa mawingu the same alitoa dalili zote za kuaondoka.
Ntarudi kuelezea mambo kumi yatayokutokea kabla ya kifo chako ili ufanye maandalizi mapema.
I mean mwili siku hiyo waga unahisia fulani nzito sana mzee....kuna mtu alikwambia kuwa ukitaka kufa nafsi inahisi?mana mtu akifa harudi ww hii knowledge ulitoa wapi ili hali hujafa?
Dah ila JF 🤣🤣🤣Ingekuwa ni hivyo hao wanaokata roho kabla hawajafa wangekua wanatoka baru balaa