God Fearing Person
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 767
- 2,570
Umenikumbusha siku nne zilizopita nilienda kumjulia hali mgonjwa.Akawa hataki kuniangalia machoni.Kesho yake akaaga dunia.Kutokuwa na uwezo wa kuwa intuitive ndo watu husema MTU Fulani amekufa ghafula.
Kama ilivyo dalili za wewe kuja duniani (kuzaliwa) ndivyo zilivyo dalili za kifo.
Mtangazaji aliyefariki alitoa dalili zote kuwa her days are numbered.
Na yule naodha wa jahazi wa mawingu the same alitoa dalili zote za kuaondoka.
Ntarudi kuelezea mambo kumi yatayokutokea kabla ya kifo chako ili ufanye maandalizi mapema .
No one knows tomorrow.Kutokuwa na uwezo wa kuwa intuitive ndo watu husema MTU Fulani amekufa ghafula.
Kama ilivyo dalili za wewe kuja duniani (kuzaliwa) ndivyo zilivyo dalili za kifo.
Mtangazaji aliyefariki alitoa dalili zote kuwa her days are numbered.
Na yule naodha wa jahazi wa mawingu the same alitoa dalili zote za kuaondoka.
Ntarudi kuelezea mambo kumi yatayokutokea kabla ya kifo chako ili ufanye maandalizi mapema .
Kwa wale wanaokufa kwa ajali, nao wana dalili ambazo huonekana kabla ya vifo vyao?
Kama zipi hizo mkuu, nijuzeZipo pia.
Kuogopa changamoto kivipi?Truly one of the symptoms that ur day are numbered .
Ukianza kuogopa Sana changamoto -mwili huwa unaachia taratibu.
Kwa mfano mimi mlevi nisiache kbs pombe bali nipunguze kutoka kunywa konyago ni deal na safari lager 5 tu kila siku c ndio?Truly one of the symptoms that ur day are numbered .
Ukianza kuogopa Sana changamoto -mwili huwa unaachia taratibu.
Kwa hiyo hata ukiwa unatembea barabarani gari ikapoteza muelekeo ikakugonga ukafa hiyo sio kifo ya ghafla, marehemu anakua tayari alishaona hicho kifo? Ama usiku umelala ghafla mvua kubwa ikatokea mafuriko ukafa unakua tayari ulishakiona hicho kifo? Ama umelala ama umekaa ikatokea tetemeko la ardhi ghafla nyumba zikaanguka na kuua watu hicho kifo marehemu wanakua walishakiona tayari kabla?Kutokuwa na uwezo wa kuwa intuitive ndo watu husema MTU Fulani amekufa ghafula.