Kifo kinaonekana kabla hakijatokea, hakuna kifo cha ghafla

Sawa bwana iZraeli! Tunakusubiri utupe muongozo wa kukikwepa kifo
 
Type dalili za kifo cha dida
 
Jambo ambalo ameandika mtoa mada lipo hivi.

Ukiwa unasikiliza Sana na unjisikiliza Sana kuna uwezekano wa kujua muda wako Kuwa umeisha hapo

Hii sio katika kifo tu hata katika miasha ya kawaida.

Ukiwa unaruhusu kujisikilza waweza kujua mambo ambayo yatatokea mbele

Inaweza kuwa intuitive ,instinct n.k.
 
Uncle hata magufuli alijua nini kifuatacho kwa taarifa yako.

Uliza wandewa!… Walimkalia kooni mpaka akawa anaogopa kukaa ofisini, just imagine ofisi ya Rais inaogopwa na yeye mwenyewe Rais akakimbilia zake chato 😂
 
Nimewahi kupata majibu kwa namna hii, ni kweli kabsa, japo ina ugumu kiasi
 
Basi usimalizie kusema, unaweza jikuta unazo dalili 8 bado mbili tuu.
 
Ukija kutoa hizo dalili naomba unitag..
 
maandalizi tena jamani wagosi
bodaboda watafanya maandalizi sangapi jamani?
au mimi sijaelewa?
aa weee acha urongo urongo pita kule kinguchiro nguchiro
 
Mimi nimeongea sana na mpendwa wangu saa 4 usiku muda wa kutosha akiwa hospital but kaniambia subiri kidogo ntakutafuta baadaye but saa tano akafariki na taarifa nikapata asubuhi.
Unanimumbusha maumivu.
 
Mimi Bibi Yenu hebu fika huku utupe darasa kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…