Sawa...Kutokuwa na uwezo wa kuwa intuitive ndo watu husema MTU Fulani amekufa ghafula.
Kama ilivyo dalili za wewe kuja duniani (kuzaliwa) ndivyo zilivyo dalili za kifo.
Mtangazaji aliyefariki alitoa dalili zote kuwa her days are numbered.
Na yule naodha wa jahazi wa mawingu the same alitoa dalili zote za kuaondoka.
Ntarudi kuelezea mambo kumi yatayokutokea kabla ya kifo chako ili ufanye maandalizi mapema .
Mtaalam wa maswala ya bias....ebu tudokeze hapo kidogoMtu anayeona dalili ya kufa ni yule anayeumwa sana, tofauti na hapo.... haiwezekani.
Zaidi ni kwamba watu wataokota visa vya mambo flani ya kugusa aliyofanya marehemu muda mchache kabla ya kufa.
Mfano ile hotuba ya maghufuli ya 'mtanikumbuka'? ilivyochukuliwa na watu baada ya kifo chake.
Au labda flani alikuwa anakudai pesa kwa muda mrefu, ukafa punde baada ya kumlipa... wengi watasema ulijua kuhusu kifo chako.
Kitaalamu wanaita 'confirmation bias'.
confirmatio bias - una nadharia flani akilini, unatafuta visa vinavyoendana nayo ukipuuzia visa vinavyoikosoa, lengo ni kujiaminisha upo sahihiMtaalam wa maswala ya bias....ebu tudokeze hapo kidogo
aisee pamoja mkuuconfirmatio bias - una nadharia flani akilini, unatafuta visa vinavyoendana nayo ukipuuzia visa vinavyoikosoa, lengo ni kujiaminisha upo sahihi
Anza na dalili zako ili ukitangulia nasi tuprove nadharia yako kama ulivyosema kwwa mwandishi wa mawinguNtarudi kuelezea mambo kumi yatayokutokea kabla ya kifo chako ili ufanye maandalizi mapema .
Acha kujazwa HOFU juu ya kifo.Ukija kutoa hizo dalili naomba unitag..
Hili watajifanya hawalioniKwa wale wanaokufa kwa ajali, nao wana dalili ambazo huonekana kabla ya vifo vyao?
Hapa sijakuelewaAcha kujazwa HOFU juu ya kifo.
Mimi ni MMOJA wa watu wanaoishi niliyewahi kufa na kufufuka na ninaishi milele.
Wewe je?
Acha kujazwa HOFU juu ya kifo.
Mimi ni MMOJA wa watu wanaoishi niliyewahi kufa na kufufuka na ninaishi milele.
Wewe je?
Changamoto fafanua..Truly one of the symptoms that ur day are numbered.
Ukianza kuogopa Sana changamoto -mwili huwa unaachia taratibu.
usitishe watu,kifo ni kama bao la mimba hujui limeingia saa ngapi!ila ke Kuna muda kama anajua siku zake atakupa tahadhali ila pia hakuna uhakikaKutokuwa na uwezo wa kuwa intuitive ndo watu husema MTU Fulani amekufa ghafla.
Kama ilivyo dalili za wewe kuja duniani (kuzaliwa) ndivyo zilivyo dalili za kifo.
Mtangazaji aliyefariki alitoa dalili zote kuwa her days are numbered.
Na yule naodha wa jahazi wa mawingu the same alitoa dalili zote za kuaondoka.
Ntarudi kuelezea mambo kumi yatayokutokea kabla ya kifo chako ili ufanye maandalizi mapema.
Gadner alionyesha dalili ni kweli itafute clip aliyokuwa na shehe kipoozeo akiutaja mwaka 2024 kwamba una mambo mengi mbele ila hauelewi huku anacheka.Anza na dalili zako ili ukitangulia nasi tuprove nadharia yako kama ulivyosema kwwa mwandishi wa mawingu
Ndio hakuna kifo kisicho na taarifa muhusika au mtu wa karibu yeyote. Kifo hakiji kwa bahati mbaya wakuu.Kwa wale wanaokufa kwa ajali, nao wana dalili ambazo huonekana kabla ya vifo vyao?
Hujaelewa, siri ya kifo hutoijua. Ila Siku ya Kufa ikifika lazima ujue tu.Hakuna hata mmoja wala hakutoke,hajatokea na hatakuja kutokea mtu anayejua siri ya kifo...