Kifo ndiyo mapumziko

Kifo ndiyo mapumziko

Kiplayer

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
1,180
Reaction score
1,964
Hapo awali nilidhani ukiwa na hali fulani ya maisha unaweza kuwa na furaha muda mwingi wa maisha yako. Ukweli mchungu!

Ili binadamu apate pumziko halisi kimwili na kiakili basi aishi sehemu tofauti na hii Dunia.

Haijalishi ni mtu wa hali ipi kimaisha wote tunadondokea kwenye mtumbwi mmoja.

Njia pekee ya kuepuka ni kifo tu na hapo ndipo unaweza tengana na vurugu za duniani.
 
Ni sahihi, duniani hakuna raha kamilifu. Furaha na raha kamilifu iko peponi (paradiso). Hii hupatika kwa kumwamini Yesu kuwa Bwana na Mwokozi.

Kwa upande wa pili (kuzimu) kuna mateso na shida zaidi ya hapa duniani. Hivyo kila mmoja aitafute pepo kwa kuitumia neema iliyopo sasa (APOKEE WOKOVU), ili apate maisha ya raha atokapo kwenye hii dunia.

YESU NI BWANA NA MWOKOZI
 
Ni mtu mpumbavu pekee ndie auawe mwanadamu mwenzako hali nae Kuna siku atakufa
 
Hapo awali nilidhani ukiwa na hali fulani ya maisha unaweza kuwa na furaha muda mwingi wa maisha yako. Ukweli mchungu!

Ili binadamu apate pumziko halisi kimwili na kiakili basi aishi sehemu tofauti na hii Dunia.

Haijalishi ni mtu wa hali ipi kimaisha wote tunadondokea kwenye mtumbwi mmoja.

Njia pekee ya kuepuka ni kifo tu na hapo ndipo unaweza tengana na vurugu za duniani.
Pole mkuu.
Ila taratibu...bado uwepo wako humu duniani unahitajika.
 
Kuna siku nilikuwa nakwenda kazini, nikawa napita kwa rafiki yangu mmoja kumjulia hali.

Nikamkuta amelala kitandani amenyong'onyea.

Nikamuuliza vipi hali, mbona hivyo?

Akasema hajisikii vizuri.

Tukaongea mambo gani sijui, topic ikaenda kwenye kifo.

Nikawa nasema maneno kama haya ya kifo ni mapumziko, kidhahania sana.

Kesho yake nikapata habari yule kijana alijipiga risasi kwao.

Iliniuma sana, nikajiuliza sana kama yale mazungumzo yangu yalichangia maamuzi yake yale.

Toka siku hiyo, nakuwa muangalifu sana kufanya maongezi haya ambayo yanaweza kuwa na suicide ideation triggers yakawafanya watu wengine waone kujiua ni poa tu.
 
Hapo awali nilidhani ukiwa na hali fulani ya maisha unaweza kuwa na furaha muda mwingi wa maisha yako. Ukweli mchungu!

Ili binadamu apate pumziko halisi kimwili na kiakili basi aishi sehemu tofauti na hii Dunia.

Haijalishi ni mtu wa hali ipi kimaisha wote tunadondokea kwenye mtumbwi mmoja.

Njia pekee ya kuepuka ni kifo tu na hapo ndipo unaweza tengana na vurugu za duniani.
Kabrini hakuna kupumzika!!jitu liliishi duniani kwa kukandamiza watu alafu life heti linaenda kupumzika? sio kweli
 
Ni sahihi, duniani hakuna raha kamilifu. Furaha na raha kamilifu iko peponi (paradiso). Hii hupatika kwa kumwamini Yesu kuwa Bwana na Mwokozi.

Kwa upande wa pili (kuzimu) kuna mateso na shida zaidi ya hapa duniani. Hivyo kila mmoja aitafute pepo kwa kuitumia neema iliyopo sasa (APOKEE WOKOVU), ili apate maisha ya raha atokapo kwenye hii dunia.

YESU NI BWANA NA MWOKOZI
Subiri roha hikutoke ufukiwe na tani 7 za kifusi hili ukaone uokovu wa Mungu wako yesu chezea kifo
 
Hapo awali nilidhani ukiwa na hali fulani ya maisha unaweza kuwa na furaha muda mwingi wa maisha yako. Ukweli mchungu!

Ili binadamu apate pumziko halisi kimwili na kiakili basi aishi sehemu tofauti na hii Dunia.

Haijalishi ni mtu wa hali ipi kimaisha wote tunadondokea kwenye mtumbwi mmoja.

Njia pekee ya kuepuka ni kifo tu na hapo ndipo unaweza tengana na vurugu za duniani.
Vipi tena wewe unataka ukajirushe gorofa ya 14?
 
d55367c3-80c2-48da-bbf4-7945d30c8da2.jpg
 
TAFUTA PESA kijannah huko hakuna mapumziko tena kama kwa wale wanaodai kuna kuchomwa moto hayo mapumziko yako wapi...??

Bora tu nibaki zangu duniani na pesa zangu.
 
Back
Top Bottom