Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,416
- 16,603
Kila siku watu wanakufa vifo vya ghafla. Sio kisa lemutuz na membe ndio uwaze mengine. Hata humu kuna watu imewakuta mtu umeongea naye jioni asubuhi hayupo na sio ajaliMbona hatuambiwi sababu ya kifo chake au covid 19 imerudi tena, maana kufa kupo Ila haraka haraka inastua sana