Kifo ni fumbo Le mutuz juzi katoa RIP kwa Membe kupitia instagram yake Leo amefariki yeye!

Kifo ni fumbo Le mutuz juzi katoa RIP kwa Membe kupitia instagram yake Leo amefariki yeye!

Mbona hatuambiwi sababu ya kifo chake au covid 19 imerudi tena, maana kufa kupo Ila haraka haraka inastua sana
Kila siku watu wanakufa vifo vya ghafla. Sio kisa lemutuz na membe ndio uwaze mengine. Hata humu kuna watu imewakuta mtu umeongea naye jioni asubuhi hayupo na sio ajali
 
Back
Top Bottom