Kifo ni kifo tu, kauli iliyoligawa taifa. WanaCCM wakifa nashauri msiwahukumu kwa makosa ya Samia.

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,366
Reaction score
5,209
WanaCCM wakifa wananchi wanafurahia. Msiwahukumu kwa makosa ya kiongozi wao.πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20261016-035236.jpg
    137 KB · Views: 7
Wakati wa kauli ya kifo ni kifo inatolewa wao walisemaje, walikuwa upande gani?
Kukaa kimya wakati tendo baya linatendwa ni kusapoti ubaya.
 
Kha! Tumeanza kupangiana matumizi ya furaha wakuu!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…