Kifuani kwa mpenzi wangu

Kifuani kwa mpenzi wangu

Nilipita saluni kunyoa ili nipige picha. Kichwa kina nywele nyingi kuliko kifua, ila kichwa ni bei chee sana.

Nikauliza what's the reason, nikaambiwa ni mto Nile huo, inatakiwa tuunyoe kuanzia Jinja Uganda hadi Misri. Ambao hamkibebwa kwenye mbeleko msije kuniomba tafsiri.
Bujibuji Simba Nyamaume is the illest
Weka picha ya nywele nyingi
 
sisi wenye kifua kama ganda la uji iko siku nasi tutafikiwa imani yangu ni kubwa juu ya hili
 
Back
Top Bottom