Kifuani nina mzigo wa hasira na kisasi, mgoni wangu kuwa makini

Af wala it's not about pesa.
Kwamba matajiri wana ndoa imara?

Mapenzi yakiisha yameisha.
Yanachipua kwingine unaumia unaendelea na life.
Usizidi kummaliza the little pride he has left with as a man and a human being.
 
Nimeelewa, na hakitampata kitu chochote kibaya kama kisasi chake hakitahusu uhai wa watesi wake.

Awape shurba tu kama anayoipata yeye.
Maumivu ya mapenzi hayana replacement.
Fact that inamuumiza, itamuuniza mpk atakapoamua kupona.
 
Af wala it's not about pesa.
Kwamba matajiri wana ndoa imara?

Mapenzi yakiisha yameisha.
Yanachipua kwingine unaumia unaendelea na life.
Usizidi kummaliza the little pride he has left with as a man and a human being.
Fanya uwe na mwanamke mkali halafu usiwe na uwezo,utajua tu ninachomaanisha
 
Kumbe Mama J aliendelea na yule jamaa wa Yanga? Baba J tuliza moyo mkuu
 

Mkuu

Pole sana

Naamini unaumizwa na mazoea

Mazoea uliyonayo juu ya huyo unayeimwita mkeo

Jitahidi hayo mazoea uyaweke kwenye kitu kingine

kabisa. Angalia watoto wako halafu fikria kwa kina

unachotaka kukifanya, kabla ya kuhitimisha!

Kumbuka huyo mbilimbi ndiyo mama wa watoto

wako, hakuna mwingine zaidi ya huyo mbilimbi...

Kama una hela jipe safari kidogo, kamata manzi

muzuriiiii akupe shughuli fulani ya kibabe...

Utamsahau huyo mbilimbi anayekupa headache

kwa sasa...

Shukrani!
 
Maumivu ya mapenzi hayana replacement.
Fact that inamuumiza, itamuuniza mpk atakapoamua kupona.
Ipooo na replacement yenyewe ni kuona mtesi wako akiteseka na kuumia kama wewe. Kama una njia ya kumfanya aumie hapo utapona kabisaa.
 
Ukiwa unajiandaa kufanya hayo unayotaka kufanya,uwe pia unaandaa namna watoto wako watakavyoishi wewe utakapokuwa ukinyea debe.Usitubebeshe mzigo sisi ndugu zako kwasababu ya uzinzi wa mkeo na upumbavu wako.
 
Wala sio kazi dada angu.
Umri huu nimeishi na ku experience vingi mno.niliacha kucheza muda kidogo so i wouldnt no one to play me
Sasa wewe ulishacheza ukamaliza, unajuaje nae zama zake inawezekana ndio muda wa kucheza....
We differ, katika makosa 100 nnayoweza kumuacha mme wangu kipenzi cheating ni kosa la mia likitanguliwa na mengine 99...nikutakie mchana mwema
 
Niligundua mke wangu anatoka na jamaa fulani anaetumia gari ya serikali kama ndoano,nilichofanya ni kumuacha mwanamke aende zake,siwezi gombana na mwanaume kisa mwanamke never ever.
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…