Kifuani nina mzigo wa hasira na kisasi, mgoni wangu kuwa makini

Adhabu pekee unayoweza kuwapa ni 1,Be the best version of yourself 2.Accept the pain with humility 3.Let them know that you love her.4 Love your children 5 Be happy
 
Mtu mwenye hasira kali mara nyingi anatendaga unyama kimya kimya bila kusema.

Ukisimulia watu hasira zako husaidia sana maumivu ya moyo kupungua na mwisho wa siku unjikuta umesamehe na kuacha maisha yaendelee.

Pole mtoa mada, ni kweli kuchapiwa huwa kunauma. Tena ukiongeza na vijembe na dharau wanazokuonyesha, unaweza kujikuta unafanya tukio baya.
 
Binadamu tupo wa aina nyingi sana yaan kuna watu starehe yao kugonga wake za watu tu 😠😠😠
Halafu wanawake nao inakuaje mke wa mtu unashoboka na wanaume nje ya mumeo
Mngekuwa mnawauliza kwann mtu anachepuka ??
 
Tafakari kwa makini hatua unazopanga kuchukua... Tafakari kwa makini future ya wanao hao ndio shina lako! Wanawake huja na kuondoka na hata kubadili ubin lakini wanao watabaki kuwa wako mpaka kaburini
 
Samahani kwanza

Huyo mgoni hana mke?

Kama anaye na wewe.... kuliko visasi visivyo na faida
 
Tafakari kwa makini hatua unazopanga kuchukua... Tafakari kwa makini future ya wanao hao ndio shina lako! Wanawake huja na kuondoka na hata kubadili ubin lakini wanao watabaki kuwa wako mpaka kaburini
Nataka unisaidie kitu mkuu
 
Best comment ever ndugu,,🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩 am working on it
 
Pole, so amerudi kwake? Ukampokea?
Ila baba j chagua amani kwanza mengine yaweke tu kando....huna haja ya kuwaza kumdhuru mtu
Ingekua Ni Jambo rahisi ningeweza hata kulipia ili Ni ipate.

Nimejaribu kuvuta manzi student mwaka wa tatu kwakweli ananiliwaza japo hajui kinachoendelea.

Sasa na yeye anataka ndoa kabisaa namuonea huruma saana😥😥😥
 
Binadamu tupo wa aina nyingi sana yaan kuna watu starehe yao kugonga wake za watu tu [emoji34][emoji34][emoji34]
Halafu wanawake nao inakuaje mke wa mtu unashoboka na wanaume nje ya mumeo
Wewe hugongi wake za watu but madem sana. Mkeo haumii? Akiumia lazima atafute msawazo kupunguz stress. Kama hupendi kugongewa, heshimu mkeo akuheshimu.
 
Achana nae wewe jifungamanishe na wanao huyo mkeo ngeweza ungempotezea tuu kimya kimya ili usitumie nguvu nyiiingi kwa ajili ya uharibifu na kujiumiza bule.


Najua inauma lakini hata ukilipiza haitabadili ukweli
Let me think again
 
Kama ulimuoa bikra basi una haki ya kufanyanya unayotaka kufanya, lakini kama ulimuoa wahuni washakufungulia njia basi piga kimya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…