multmandalin
JF-Expert Member
- Sep 8, 2012
- 2,034
- 577
Sumaye the longest serving PM!Kasim Majaliwa huenda yatamkuta yaliyomkuta Joseph Sinde Warioba 1990 au John Samwel Malecela 1994
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sumaye the longest serving PM!Kasim Majaliwa huenda yatamkuta yaliyomkuta Joseph Sinde Warioba 1990 au John Samwel Malecela 1994
Niliposema mtego NI likuwa na maana ya kuwa yeye Kwa sasa Sawa hana nguvu....lakini ameshaacha historia mbaya ya spika wa Kwanza kujiuzulu Kwa kuhoji mhimili mwingine.Ni hapo unaposema “mtego” ninavyoona hatakuwa na nguvu tena ya kufanya kitu ni kama wamevunja miguu
Siasa za Africa tunazijua wote na nchi nyingi Rais ana nguvu sana na kuweza kufanya chochote
Katiba inahitajika sawa lakini Job alikuwa na nguvu akiwa kwenye kile kiti ila sasa atabaki kipiga meza tu kama na Ubunge hataachia ni hayo tu
Mara paap paaap nduga waziri mkuuMara paaap pia Baraza La Mawaziri limevunjwa Ummy Mwalimu waziri mkuu.
Ndugu kuoza Kwa tunda si Jambo la siku moja....vivyo hivyo kuoza Kwa CCM ni mchakato ambao uko kwenye process....so,muda ni mwalimu mzuri Sana na wakati ukifika ni umefika.Mnacheza ngoma wanayopiga wao mtaangaika sana na mtawaza na kutafakari sana ila jua CCm ni chama kinachotumia akili sana kuliko maneno na mihemko ya kisiasa
**** uliwai kufuatilia issue ya Rowasa kipindi kile anataka uraisi bas utaelewa kwa nn CCm ni chama kinachotumia akili kuliko chama chochote kile Africa
Wengi walitegemea lowasa ataiua au kuivunja ata kuizoofisha Ccm ila kilicho mkuta ata yy hakuamin alitoka akajikuta katoka pekeake
Niliposema mtego NI likuwa na maana ya kuwa yeye Kwa sasa Sawa hana nguvu....lakini ameshaacha historia mbaya ya spika wa Kwanza kujiuzulu Kwa kuhoji mhimili mwingine.
Doa hili katika historia linazaa swali la je mihimili hii mitatu iko Sawa na je,Katiba inasemaje??.
So,mtego hapa ni kuamsha vuguvugu la mabadiliko ya Katiba ili kuleta uwiano wa hii mihimili mitatu kufanya kazi Kwa Uhuru na usawa.
Hahah thanks for the compliments, lakini mie ni Wakili so nimesoma Constitutional and Administrative Law ya marehemu Prof. Juan Mwaikusa.Duu wewe somo la presidential Government vs parliamentary government ulielewa vizuri sana.
Ooh sawa basi uko vizuri. Ulikuwa unatoa lecture ya PSPA courses kama PS 338 (public bureaucracies), PS 111 (introduction to political science II), na course inaitwa PS 113 (Government and politics in Tanzania). Nime compliment kwasababu umegusa field yangu lakini mimi sio mchangiaji Huwa nasoma zaidi mitazamo ya watu. Bachelor of Political Science and Public Administration ya miaka ya 2008.Hahah thanks for the compliments, lakini mie ni Wakili so nimesoma Constitutional and Administrative Law ya marehemu Prof. Juan Mwaikusa.
Una umri wa mika mingapi mkuu?Natumai sote tuko poa na salama, hakika Mungu ashukuriwe Kwa rehema na neema zake.
Japo nchi na raia wengi wamepokea taarifa za kujiuzulu Kwa speaker wa Bunge Kwa taharuki na mshangao. Lakini swali la kujuiliza hapa, je, nini kutafuta/nini maana ya hii move Kwa maana ya mihimili ya nchi (Serikali, Bunge na Mahakama).
Hakika wengi wanaweza muona Ndugai kama amefeli hivi, Ila ukifanya analysis ya kiuongozi na kisiasa ni kama jamaa ama make a political trap Kwa serikali iliyopo.
Ni kama amatega mtego wa kufungua hoja za kuanzishwa Kwa vuguvugu na Katiba mpya.Kwa nini nasema hivi.Ukitizama Kwa umakini na Kwa kina ni dhahiri na wazi kuwa Ndugai hakufanya kosa kama muwakilishi wa mhimili huru wa BUNGE....japo wengi wanaweza sema namna aliyotumia kuwasilisha hoja yake haikuwa sahihi,lakini swali linakuja,je kuwasilisha huko kulimuondolea ukweli kuwa yeye ni spika wa Bunge....yaani mhimili huru wa nchi.
Move hii ni dhahiri ina inaibua hoja ya je NI kweli nchi yetu ina mihimili mitatu huru yenye Uhuru wa kuhoji na kushauri mhimili mwingine bila uwoga wala kificho.
Jibu ni hapana Kwa kurejelea kujiuzulu Kwa ndugu Ndugai.Hii ni wazi kuwa mhimili mmoja Una nguvu kubwa kuliko mihimili mingine.
Hivyo basi,kifuatacho hapa ni nchi kuingia kwenye mtego wa kuhoji utendaji wa mihimili hii mitatu inayounda taifa la Tanzania.
Swali ni je,nchi itanasa kwenye huu mtego au itajinasua.
Nawasilisha.
Safi sana hii LL.B 2005Ooh sawa basi uko vizuri. Ulikuwa unatoa lecture ya PSPA courses kama PS 338 (public bureaucracies), PS 111 (introduction to political science II), na course inaitwa PS 113 (Government and politics in Tanzania). Nime compliment kwasababu umegusa field yangu lakini mimi sio mchangiaji Huwa nasoma zaidi mitazamo ya watu. Bachelor of Political Science and Public Administration ya miaka ya 2008.
Ni kama hawapo pa1 hivi. PM amekuwa mtulivu sana huwenda kuna kitu anakijua.Kasim Majaliwa huenda yatamkuta yaliyomkuta Joseph Sinde Warioba 1990 au John Samwel Malecela 1994
Ningependa kufahamu kwanini unaulizia umri,kisha nitakutajia.Una umri wa mika mingapi mkuu?
Umeona eeh,yaani swaga za jamaa nowadays siko kama za kipindi cha Magu.Ni kama hawapo pa1 hivi. PM amekuwa mtulivu sana huwenda kuna kitu anakijua.
Maana serikali siyo mhimili labda kwa mtoto mchanga wa primary ambaye ukimuuliza 3- 5 anasema haiwezekaniNingependa kufahamu kwanini unaulizia umri,kisha nitakutajia.
Ninachokiona hapa ilikuwa inafanyika siri sasa sio siri tena, tunaenda kumpata spika ambaye ni mteule wa raisSwali je akiingia speaker mwingine naye pia akaonekana kuihoji serikali, je kutatokea kuombwa kungatuka madarakani
Sawa Babu mwenye miaka yake 100....haya serikali ni nini....naomba unieleweshe,kama serikali sio mhimili ni kitu gani Kwa upeo wako???Maana serikali siyo mhimili labda kwa mtoto mchanga wa primary ambaye ukimuuliza 3- 5 anasema haiwezekani
SERIKALI inaundwa na watawala + watumishi wa umma na dola, Mahakama na Bunge. Hiyo ndiyo mihimili mitatu. Serikali ni mfumo unaounganisha hiyo mihimili mitatu na hakuna NARUDIA hakuna mhimili uko huru au kujitegemea.Sawa Babu mwenye miaka yake 100....haya serikali ni nini....naomba unieleweshe,kama serikali sio mhimili ni kitu gani Kwa upeo wako???
Namba 3 inatokea very soon.Kuondoka kwa ndugai kumenifanya nione mapungufu mengi sana kimfumo
1 . Hii nchi ina mhimili moja tu hizi zingine geresha
2. Hoja za mashiko hazipewi nafasi
3. Tunako elekea wimbo wa katiba mpya tutaimba wote ...muda ni mwalimu mzuri
Kwanza tunakumbushi vyeti vyake vya shuleDaaah hili likitu likirudi tena kwenye uongozi mbona itakuwa shida Sana aisee
Hiyo mihimili mingne ni kiini macho.ni mihimili yakwenye makaratasi.ndomaana namimi naunga mkono nchi kua na katiba inayijielewa.Katiba ikiyopo inamapungufu menhi ambayo hayaendani na nyakati.Na hapa ndo ule ule ukweli kuwa tuna mhimili mmoja wenye nguvu kuliko mingine unadhihirika.
Tukubali tu kuwa hatuna mihimili mitatu iliyo huru na yenye usawa.