Kifuatacho baada ya Job Ndugai kujiuzulu, tukae mkao wa kula

Niliposema mtego NI likuwa na maana ya kuwa yeye Kwa sasa Sawa hana nguvu....lakini ameshaacha historia mbaya ya spika wa Kwanza kujiuzulu Kwa kuhoji mhimili mwingine.

Doa hili katika historia linazaa swali la je mihimili hii mitatu iko Sawa na je,Katiba inasemaje??.

So,mtego hapa ni kuamsha vuguvugu la mabadiliko ya Katiba ili kuleta uwiano wa hii mihimili mitatu kufanya kazi Kwa Uhuru na usawa.
 
Ndugu kuoza Kwa tunda si Jambo la siku moja....vivyo hivyo kuoza Kwa CCM ni mchakato ambao uko kwenye process....so,muda ni mwalimu mzuri Sana na wakati ukifika ni umefika.

Ninacho maanisha hapa ni kuwa,upinzani WA kweli unaibuka taratibu ndani ya CCM pasipo wao wenyewe kujitambua.Na hili liko wazi toka enzi hizo za kina Lowasa.

We tembea tu na haya matukio alafu utakuja kuniambia.
 

Nimekupata Mkuu
Ila nae alifurahia kuwekewa kinga ya kutokushtakiwa

Huwa wanaona pafupi sana
 
Duu wewe somo la presidential Government vs parliamentary government ulielewa vizuri sana.
Hahah thanks for the compliments, lakini mie ni Wakili so nimesoma Constitutional and Administrative Law ya marehemu Prof. Juan Mwaikusa.
 
Hahah thanks for the compliments, lakini mie ni Wakili so nimesoma Constitutional and Administrative Law ya marehemu Prof. Juan Mwaikusa.
Ooh sawa basi uko vizuri. Ulikuwa unatoa lecture ya PSPA courses kama PS 338 (public bureaucracies), PS 111 (introduction to political science II), na course inaitwa PS 113 (Government and politics in Tanzania). Nime compliment kwasababu umegusa field yangu lakini mimi sio mchangiaji Huwa nasoma zaidi mitazamo ya watu. Bachelor of Political Science and Public Administration ya miaka ya 2008.
 
Una umri wa mika mingapi mkuu?
 
Safi sana hii LL.B 2005
 
Maana serikali siyo mhimili labda kwa mtoto mchanga wa primary ambaye ukimuuliza 3- 5 anasema haiwezekani
Sawa Babu mwenye miaka yake 100....haya serikali ni nini....naomba unieleweshe,kama serikali sio mhimili ni kitu gani Kwa upeo wako???
 
Sawa Babu mwenye miaka yake 100....haya serikali ni nini....naomba unieleweshe,kama serikali sio mhimili ni kitu gani Kwa upeo wako???
SERIKALI inaundwa na watawala + watumishi wa umma na dola, Mahakama na Bunge. Hiyo ndiyo mihimili mitatu. Serikali ni mfumo unaounganisha hiyo mihimili mitatu na hakuna NARUDIA hakuna mhimili uko huru au kujitegemea.
 
Kuondoka kwa ndugai kumenifanya nione mapungufu mengi sana kimfumo

1 . Hii nchi ina mhimili moja tu hizi zingine geresha
2. Hoja za mashiko hazipewi nafasi
3. Tunako elekea wimbo wa katiba mpya tutaimba wote ...muda ni mwalimu mzuri
Namba 3 inatokea very soon.
 
Na hapa ndo ule ule ukweli kuwa tuna mhimili mmoja wenye nguvu kuliko mingine unadhihirika.

Tukubali tu kuwa hatuna mihimili mitatu iliyo huru na yenye usawa.
Hiyo mihimili mingne ni kiini macho.ni mihimili yakwenye makaratasi.ndomaana namimi naunga mkono nchi kua na katiba inayijielewa.Katiba ikiyopo inamapungufu menhi ambayo hayaendani na nyakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…