Kifungo cha maisha kwa wabakaji waliotumwa na afande siyo habari njema

1. Mshana, hakuna masononeko kama kukosa UHURU Man is born to be free! Ukikoa kuwa hru heri kufa!

2. RUFAA: Ushihidi sijasoma hukumu partucularly MWENEDO WA KESI..CASE RECORD, lakini kutokana na briefing ya Wakili Mwasonga, likeyhood ya kuachiwa ni kubwa!

Sikiliza hii clip fupi

View: https://x.com/i/status/1840811237396959556
 
Siku ya parapanda ,Muumba kumtuma Israel, hizo ni hadithi ambazo sio kila mtu anapaswa kuziamini.

Kwa huu unywaji wa visungura life expectancy ya bongo siwatatoka kesho tu mkuu?
😁
 
Siku ya parapanda ,Muumba kumtuma Israel, hizo ni hadithi ambazo sio kila mtu anapaswa kuziamini.

Kwa huu unywaji wa visungura life expectancy ya bongo siwatatoka kesho tu mkuu?
😁
Sawa tuachane na mambo ya parapanda.......

Wewe hujui kuwa mama kaongeza miaka ya kuishi kutoka 56 mpaka 65 kwa walalahoi.......kwa wenzetu wanaokula milo mitatu inaweza kuwa zaidi ya hiyo.......kule ngome hakuna visungura
 
Kama hujawahi kukaa rumande angalao siku 3 basi kila hukumu kwako ni ndogo.
Kwa mtu timamu kabisa kufungwa hata mwezi ni adhabu ya nguvu na inaharibu saikolojia vibaya mno.
Niliwahi kukaa msimbazi siku 5, nilivyotoka akili haikuwa sawa mwezi mzima.
 
lazima iwaumize akili, fikiria unapangiwa muda wa kulala wa kuamka wa kula tena s ajabu ukichelewa kula imetoka hiyo huoni nje huwez kwenda kwa mshakj wako ukarefresh mind yani circle yako ni ndogo ni hapohapo aloo lazma ujutie moyoni. hakuna kitu kizur kama kua huru kufanya chochote kwenda unakotala ndugu watakua wanakuja kukuona lakini watachoka kuna siku watafululiza hutawaona na uliewazoea s ajabu wasije kabisa
 
hii hatar yn kunawa bd hawajardhika na hii adhabu yn nawaza tu kifungo cha maisha yn kukaa chini ya mtu maisha yk yote no watoto no sex yn kilaa kitu yn bado watu hawaridhiki tuoche roho mbaya
 
hii hatar yn kunawa bd hawajardhika na hii adhabu yn nawaza tu kifungo cha maisha yn kukaa chini ya mtu maisha yk yote no watoto no sex yn kilaa kitu yn bado watu hawaridhiki tuoche roho mbaya
Adhabu sahihi ilikua kifo bahati Yao wanaishi nchi ya raisi mzembe hao ilikua ni kuchinja tu na mabisu makali Tanzania mnahuruma sana
 
hii hatar yn kunawa bd hawajardhika na hii adhabu yn nawaza tu kifungo cha maisha yn kukaa chini ya mtu maisha yk yote no watoto no sex yn kilaa kitu yn bado watu hawaridhiki tuoche roho mbaya
Hivi kumbe walioko jela hawaruhisiwi hayo yote?
Je, vipi kama ni mwanamke, akahukumiwa akiwa tayari mjamzito?
Huwa inakuwaje hapo?
Mnaojua Sheria tuelimishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…