Kifungo cha maisha kwa wabakaji waliotumwa na afande siyo habari njema

Ahaa haaaah, Mambo ya sheria Eti wakili hajui kuingilia nyuma au kinyume na maumbile. Anauliza ni wapi? Kazi za laana hizi za kujizima data na kuitoa ufahamu, mpaka afanyiwe vitendo hivyo dadako, mwanao au mamako. So sad story for the victims.
 
Labda kama walinasa maongezi yao kupitia Tcra hapo kidogo mtumaji anaweza kua na kesi ya kujibu!!
Ile video ya binti akimuomba msamaha Afande, probably walimtumia Afande ili kumuonyesha kazi nzito ya kishetani ilipofikia.
Sasa kweli anashindwa kukamatwa?
Watu wa sheria hii imekaaje jamani?
 
Hii kesi hawatoboi nakuambia hata wakikata rufaa.
JF kuna ombwe la weledi, watu hawajui kesi yenye public interest hakuna hakimu wala Jaji wa kuchukuwa rushwa, wananyooka kama rula.

Wanaowapenda hao wabakaji waende gerezani kuwaandalia mazingiria ya chakula na kupata unyapara hiyo ndio feva pekee kwao wanaowakumbatia hao ibilisi wanaweza kuwasaidia.

Wakikata rufaa Jaji anapaswa kuongeza hukumu ya viboko na kazi ngumu.
 
Nadhani hujui application ya law ilivyo , tuna sheria mama ambayo ni katiba na tuna muongozo unaoelekeza utekelezaji wa sheria husika ,ndio maana tumeunda bodi yan parole kutekeleza hayo ili kumsaidia raisi kutekeleza kazi hiyo ,sasa umatiambia habari ya mtu aliyevunja kila aina sheria kwa kutumia nguvu na utashi wake,
Acha kukimbilia kutukana na ku attack mtoa hoja huo nao ni ujinga ,dalili moja ya mtu mjinga huwa ana attack mtoa hoja na kuacha kujadili hoja
 
Ila kwanini tuwaombee wasitoke kama taratibu hazijafuatwaaaa.
Nadhani tungoje tuone kwanza rufani yao itapokelewa kama wakikataa ama laa
Kuna Watu humu mnabanduliwa ila hamtaki kujitangaza wazi, unataka utaratibu upi? Kesi imeendeshwa kwa faragha ni lini ulihudhuria mahakamani?

Hao mbwa hukohuko jela lazima watafutiwe mabwana wa kuwafumuwa mitaro.
 
Mkuu wa Magerez Ukonga apandishwa mahakamani kwa kesi ya rushwa na ya kufoji ma docuemt.

Aliandika addendum ( nyongeza) ya listi ya majina ya msamaha wa wafungwa. Ikasoma inatoka kwa Katibu Mkuu Mambo ya Ndani.

Wachina watatu walitoa milioni 45 ili wanyopolewe kwenye kifungo Ukonga. Baada ya kuona hawatoki lawyet wao akafuatilia. Afande akataka waongeze milioni 18. Wakagoma. Kikasanuka!

Vyombo vya Ulinzi wakafuatilia wakakuta hakuna barua ya msamaha kutoka kwa Katibu Mkuu Mambo ya Ndani kusamehe wachina watatu. Mkuu wa Megereza pamoja na wenzake wawili wako Lupango.

My first ever compliment to the goverment on fighting public service corruption at high places.
Hivi ukitumwa ukaibe aliyekutuma ndio mwizi au wewe uliyeenda kuiba ndio mwizi? Tafsiri ya kisheria please
Inategemea na mazingjra na umahiri wa wanasheria na sometimes maslahi ya kisiasa kwa bongo
...Mkuu Mshana, Sio unachangsnya Madesa? Mimi Nilidhani hao unaowasema Watu wa Kula na Kulala bila Kazi ni wale waliopata adhabu ya Kifo...lakini Hawa wa Kifungo Cha Maisha, Kazi inawahusu! Ikoje hii ? ...
Ni andiko la Matarra kule X nimelinukuu hivyo Siwezi kulisemea aaba
Ogopa sana magereza za bongo maana mpka anayekulinda kule(askali magereza) nae njaa kali aelewi, nakumbuka nipo selo nimeletewa supu na chapati askali magereza nae anaomba nimmegee chapati ashtue utumbo.
nakumbuka nipo selo nimeletewa supu na chapati askali magereza nae anaomba nimmegee chapati ashtue utumbo.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ahaa haaaah, Mambo ya sheria Eti wakili hajui kuingilia nyuma au kinyume na maumbile. Anauliza ni wapi? Kazi za laana hizi za kujizima data na kuitoa ufahamu, mpaka afanyiwe vitendo hivyo dadako, mwanao au mamako. So sad story for the victims.
 
Mkuu wa Magerez Ukonga apandishwa mahakamani kwa kesi ya rushwa na ya kufoji ma docuemt.

Aliandika addendum ( nyongeza) ya listi ya majina ya msamaha wa wafungwa. Ikasoma inatoka kwa Katibu Mkuu Mambo ya Ndani.

Wachina watatu walitoa milioni 45 ili wanyopolewe kwenye kifungo Ukonga. Baada ya kuona hawatoki lawyet wao akafuatilia. Afande akataka waongeze milioni 18. Wakagoma. Kikasanuka!

Vyombo vya Ulinzi wakafuatilia wakakuta hakuna barua ya msamaha kutoka kwa Katibu Mkuu Mambo ya Ndani kusamehe wachina watatu. Mkuu wa Megereza pamoja na wenzake wawili wako Lupango.

My first ever compliment to the goverment on fighting public service corruption at high places.
Hivi ukitumwa ukaibe aliyekutuma ndio mwizi au wewe uliyeenda kuiba ndio mwizi? Tafsiri ya kisheria please
Inategemea na mazingjra na umahiri wa wanasheria na sometimes maslahi ya kisiasa kwa bongo
...Mkuu Mshana, Sio unachangsnya Madesa? Mimi Nilidhani hao unaowasema Watu wa Kula na Kulala bila Kazi ni wale waliopata adhabu ya Kifo...lakini Hawa wa Kifungo Cha Maisha, Kazi inawahusu! Ikoje hii ? ...
Ni andiko la Matarra kule X nimelinukuu hivyo Siwezi kulisemea aaba
Ogopa sana magereza za bongo maana mpka anayekulinda kule(askali magereza) nae njaa kali aelewi, nakumbuka nipo selo nimeletewa supu na chapati askali magereza nae anaomba nimmegee chapati ashtue utumbo.
nakumbuka nipo selo nimeletewa supu na chapati askali magereza nae anaomba nimmegee chapati ashtue utumbo.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ile video ya binti akimuomba msamaha Afande, probably walimtumia Afande ili kumuonyesha kazi nzito ya kishetani ilipofikia.
Sasa kweli anashindwa kukamatwa?
Watu wa sheria hii imekaaje jamani?
 
Halafu kama ulikuwa hujui kuna geneara
Haya soma katiba art 45(2) inasemaje halafu ndio uendelee kubwabwaja
 
Mkuu mshana hawa watakata rufaa na watashinda. Ni suala la muda tu.
 
Hahahh
 
Hahahh
Halafu kama ulikuwa hujui kuna geneara

Haya soma katiba art 45(2) inasemaje halafu ndio uendelee kubwabwaja
Katiba imempa mamlaka ndio lakini kuna kifungu hapohapo kinasema, bunge litatunga sheria ili kumuelekeza raisi kutekeleza hayo matakwa ya kikatiba. Ndio maana misamaha ikitoka ina toa na sheria ambayo imemruhusu kufanya hivyo especially sheria ya magereza
 
Hawa ni kati ya wachache ambao waliwahi kufungwa na sikuwaonea huruma. vijana walikuwa bado wa kiburi hadi kumtishia mwandishi wa habari kuwa akirudi uraiani atamshughulikia. hakuwa na remorse ya alichofanya.
Hawa kutoboa sio rahisi hata hoja za wakili wao naona ni dhaifu hata wakikata rufaa. eti mhusika alisema ameenjoy... wakili kanyaboya.
 
Lengo la gereza ni kukunyima uhuru ambao ulikuwa nao uraiani ukautumia vibaya kwa kuvunja sheria hivyo wanachukua uhuru wako kwa kukufunga miaka kadhaa ili akili ikae sawa, kwa mtu ambae alikuwa na mishe mishe zake huku uraiani hata asipofanya kazi ngumu ni adhabu tosha kabisa kukaa ndani ya Kuta nne umenyimwa access ya vitu mbalimbali including papuchi. (Except Kwa masela wachache ambao wamekata tamaa wanaona kukaa uraiani au gerezani sio issue kwao maana hata akikaa uraiani hana cha kufanya anakuwa mtu wa matukio hata akitiwa hatiani kule anajua anakwenda kijiweni tu)

Kazi ngumu ni adhabu ya pili na hata hivyo inatakiwa iwe kazi ya uzalishaji mali
 
Exactly
 
Uzuri wa JF kila mtu mjuwaji na mtaalamu wa sheria na mchambuzi katika kila sekta.
 
Mkuu wa Magerez Ukonga apandishwa mahakamani kwa kesi ya rushwa na ya kufoji ma docuemt.

Aliandika addendum ( nyongeza) ya listi ya majina ya msamaha wa wafungwa. Ikasoma inatoka kwa Katibu Mkuu Mambo ya Ndani.

Wachina watatu walitoa milioni 45 ili wanyopolewe kwenye kifungo Ukonga. Baada ya kuona hawatoki lawyet wao akafuatilia. Afande akataka waongeze milioni 18. Wakagoma. Kikasanuka!

Vyombo vya Ulinzi wakafuatilia wakakuta hakuna barua ya msamaha kutoka kwa Katibu Mkuu Mambo ya Ndani kusamehe wachina watatu. Mkuu wa Megereza pamoja na wenzake wawili wako Lupango.

My first ever compliment to the goverment on fighting public service corruption at high places.
Hivi ukitumwa ukaibe aliyekutuma ndio mwizi au wewe uliyeenda kuiba ndio mwizi? Tafsiri ya kisheria please
Inategemea na mazingjra na umahiri wa wanasheria na sometimes maslahi ya kisiasa kwa bongo
...Mkuu Mshana, Sio unachangsnya Madesa? Mimi Nilidhani hao unaowasema Watu wa Kula na Kulala bila Kazi ni wale waliopata adhabu ya Kifo...lakini Hawa wa Kifungo Cha Maisha, Kazi inawahusu! Ikoje hii ? ...
Ni andiko la Matarra kule X nimelinukuu hivyo Siwezi kulisemea aaba
Ogopa sana magereza za bongo maana mpka anayekulinda kule(askali magereza) nae njaa kali aelewi, nakumbuka nipo selo nimeletewa supu na chapati askali magereza nae anaomba nimmegee chapati ashtue utumbo.
nakumbuka nipo selo nimeletewa supu na chapati askali magereza nae anaomba nimmegee chapati ashtue utumbo.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nyakati na mahitaji ya kisiasa yanaweza kupondua meza
 
,πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…