Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile video ya binti akimuomba msamaha Afande, probably walimtumia Afande ili kumuonyesha kazi nzito ya kishetani ilipofikia.Labda kama walinasa maongezi yao kupitia Tcra hapo kidogo mtumaji anaweza kua na kesi ya kujibu!!
JF kuna ombwe la weledi, watu hawajui kesi yenye public interest hakuna hakimu wala Jaji wa kuchukuwa rushwa, wananyooka kama rula.Hii kesi hawatoboi nakuambia hata wakikata rufaa.
Nadhani hujui application ya law ilivyo , tuna sheria mama ambayo ni katiba na tuna muongozo unaoelekeza utekelezaji wa sheria husika ,ndio maana tumeunda bodi yan parole kutekeleza hayo ili kumsaidia raisi kutekeleza kazi hiyo ,sasa umatiambia habari ya mtu aliyevunja kila aina sheria kwa kutumia nguvu na utashi wake,Hivi Wewe una kiwango gani cha Elimu??
Mbona una kichwa kigumu namna hii?
Naamini hali hiyo uliyonayo inatokana na kuwa na elimu ya kutoka shule za kayumba, hili ndiyo tatizo ulilonalo. Je, umesoma hiyo Ibara ya 45 ya Katiba niliyokuwekea hapo juu??? Hivi kwa akili yako unafikiri kwamba hiyo Sheria yako uliyonukuu ipo juu ya Katiba ya nch??
Kwa taarifa yako: Kutokana na mifumo ya Sheria ilivyo duniani kote kabisa, Sheria yoyote ile inayokinzana na Katiba ya nchi husika Basi Sheria hiyo inakuwa BATILI KWA UJUMLA WAKE.
Aidha, kifungu chochote kile cha Sheria yoyote ile ambacho kinapingana na matakwa ya Katiba ya nchi Basi Kifungo hicho cha Sheria kinakuwa BATILI, badala yake matakwa yaliyopo kwenye Katiba ya nchi husika ndiyo yatazingatiwa.
Sasa hiyo Sheria yako uliyonukuu na Katiba ya nchi nani ni mkubwa zaidi kwa mwenzake??
Kuna Watu humu mnabanduliwa ila hamtaki kujitangaza wazi, unataka utaratibu upi? Kesi imeendeshwa kwa faragha ni lini ulihudhuria mahakamani?Ila kwanini tuwaombee wasitoke kama taratibu hazijafuatwaaaa.
Nadhani tungoje tuone kwanza rufani yao itapokelewa kama wakikataa ama laa
Mkuu wa Magerez Ukonga apandishwa mahakamani kwa kesi ya rushwa na ya kufoji ma docuemt.Kuna uwezakano hao mkubwa katika kukata rufaa hao jamaa wakaachiwa au kupunguziwa adhabu .
Nilichokiona hapo ni swala la kuifurahisha jamii na sio weredi.
Mfano huyo Afande aliyewatuma wameshindwa vipi kumkamata na kumuunganisha katika hiyo kesi.
Then kumlipa muathirika mil 4 ni hela ndogo Sana.
Inategemea na mazingjra na umahiri wa wanasheria na sometimes maslahi ya kisiasa kwa bongoHivi ukitumwa ukaibe aliyekutuma ndio mwizi au wewe uliyeenda kuiba ndio mwizi? Tafsiri ya kisheria please
Ni andiko la Matarra kule X nimelinukuu hivyo Siwezi kulisemea aaba...Mkuu Mshana, Sio unachangsnya Madesa? Mimi Nilidhani hao unaowasema Watu wa Kula na Kulala bila Kazi ni wale waliopata adhabu ya Kifo...lakini Hawa wa Kifungo Cha Maisha, Kazi inawahusu! Ikoje hii ? ...
nakumbuka nipo selo nimeletewa supu na chapati askali magereza nae anaomba nimmegee chapati ashtue utumbo.😂😂😂Ogopa sana magereza za bongo maana mpka anayekulinda kule(askali magereza) nae njaa kali aelewi, nakumbuka nipo selo nimeletewa supu na chapati askali magereza nae anaomba nimmegee chapati ashtue utumbo.
Ahaa haaaah, Mambo ya sheria Eti wakili hajui kuingilia nyuma au kinyume na maumbile. Anauliza ni wapi? Kazi za laana hizi za kujizima data na kuitoa ufahamu, mpaka afanyiwe vitendo hivyo dadako, mwanao au mamako. So sad story for the victims.
Mkuu wa Magerez Ukonga apandishwa mahakamani kwa kesi ya rushwa na ya kufoji ma docuemt.Kuna uwezakano hao mkubwa katika kukata rufaa hao jamaa wakaachiwa au kupunguziwa adhabu .
Nilichokiona hapo ni swala la kuifurahisha jamii na sio weredi.
Mfano huyo Afande aliyewatuma wameshindwa vipi kumkamata na kumuunganisha katika hiyo kesi.
Then kumlipa muathirika mil 4 ni hela ndogo Sana.
Inategemea na mazingjra na umahiri wa wanasheria na sometimes maslahi ya kisiasa kwa bongoHivi ukitumwa ukaibe aliyekutuma ndio mwizi au wewe uliyeenda kuiba ndio mwizi? Tafsiri ya kisheria please
Ni andiko la Matarra kule X nimelinukuu hivyo Siwezi kulisemea aaba...Mkuu Mshana, Sio unachangsnya Madesa? Mimi Nilidhani hao unaowasema Watu wa Kula na Kulala bila Kazi ni wale waliopata adhabu ya Kifo...lakini Hawa wa Kifungo Cha Maisha, Kazi inawahusu! Ikoje hii ? ...
nakumbuka nipo selo nimeletewa supu na chapati askali magereza nae anaomba nimmegee chapati ashtue utumbo.😂😂😂Ogopa sana magereza za bongo maana mpka anayekulinda kule(askali magereza) nae njaa kali aelewi, nakumbuka nipo selo nimeletewa supu na chapati askali magereza nae anaomba nimmegee chapati ashtue utumbo.
Ile video ya binti akimuomba msamaha Afande, probably walimtumia Afande ili kumuonyesha kazi nzito ya kishetani ilipofikia.
Sasa kweli anashindwa kukamatwa?
Watu wa sheria hii imekaaje jamani?
Halafu kama ulikuwa hujui kuna genearaHivi Wewe una kiwango gani cha Elimu??
Mbona una kichwa kigumu namna hii?
Naamini hali hiyo uliyonayo inatokana na kuwa na elimu ya kutoka shule za kayumba, hili ndiyo tatizo ulilonalo. Je, umesoma hiyo Ibara ya 45 ya Katiba niliyokuwekea hapo juu??? Hivi kwa akili yako unafikiri kwamba hiyo Sheria yako uliyonukuu ipo juu ya Katiba ya nch??
Kwa taarifa yako: Kutokana na mifumo ya Sheria ilivyo duniani kote kabisa, Sheria yoyote ile inayokinzana na Katiba ya nchi husika Basi Sheria hiyo inakuwa BATILI KWA UJUMLA WAKE.
Aidha, kifungu chochote kile cha Sheria yoyote ile ambacho kinapingana na matakwa ya Katiba ya nchi Basi Kifungo hicho cha Sheria kinakuwa BATILI, badala yake matakwa yaliyopo kwenye Katiba ya nchi husika ndiyo yatazingatiwa.
Sasa hiyo Sheria yako uliyonukuu na Katiba ya nchi nani ni mkubwa zaidi kwa mwenzake??
Haya soma katiba art 45(2) inasemaje halafu ndio uendelee kubwabwajaHivi Wewe una kiwango gani cha Elimu??
Mbona una kichwa kigumu namna hii?
Naamini hali hiyo uliyonayo inatokana na kuwa na elimu ya kutoka shule za kayumba, hili ndiyo tatizo ulilonalo. Je, umesoma hiyo Ibara ya 45 ya Katiba niliyokuwekea hapo juu??? Hivi kwa akili yako unafikiri kwamba hiyo Sheria yako uliyonukuu ipo juu ya Katiba ya nch??
Kwa taarifa yako: Kutokana na mifumo ya Sheria ilivyo duniani kote kabisa, Sheria yoyote ile inayokinzana na Katiba ya nchi husika Basi Sheria hiyo inakuwa BATILI KWA UJUMLA WAKE.
Aidha, kifungu chochote kile cha Sheria yoyote ile ambacho kinapingana na matakwa ya Katiba ya nchi Basi Kifungo hicho cha Sheria kinakuwa BATILI, badala yake matakwa yaliyopo kwenye Katiba ya nchi husika ndiyo yatazingatiwa.
Sasa hiyo Sheria yako uliyonukuu na Katiba ya nchi nani ni mkubwa zaidi kwa mwenzake??
Mkuu mshana hawa watakata rufaa na watashinda. Ni suala la muda tu.Hii sio good news ever.
Labda huelewi.
Kifungo cha maisha/Life sentence (L.S) haitawafundisha kitu hawa vijana. Kwanini nasema hivi.
1. L.S hawafanyi adhabu nje ya ngome ambazo ndio ngumu kumrekebisha mhalifu. Wao ni watu wa ndani tu kula na kulala. Wanaohukumiwa adhabu chini ya kifungo cha maisha, mfano niliyopata hupokea adhabu kali za nje ya ngome.
2. L.S hawalalii virago vibovu, wao magodoro na blanket ni nzuri na hawalali mabweni (Cells) zilizochakaa wao ni second high class baada ya #condemned.
- Nyundo na wenzake wakutwa na hatia, wahukumiwa kifungo cha Maisha Jela
3. Kulingana na sheria zetu hawa wakikaa miaka 20 wanaachiwa like hawakufanya lolote vile, sawa wanakuwa wamepoteza lkn hiyo 4m anayopewa victim haitamsaidia kitu, nikwambie na wakitoka huyo victim atakuwa 40'yrs old na hilo kwake halitakuwa limesahaulika.
4. Mind you huku uraiani ukiwa Public servant ukafanya kosa unachukiwa na kuzomewa ILA ukiingia JELA wewe ni Top Boss siku si chache atapewa mkanda na ataheshimiwa maana kule hakuna anayedeal na ulichofanya uraiani.
Huyu anaenda kustarehe...
ISITOSHE ana rufaa huyu akienda COURT OF APPEAL tutamuona uraiani nimesoma ground za kushinda ni nyingi kwasbb ya ubovu wa sheria zetu.
Mtakuja kuniambia.
Nilitegemea wafungwe miaka 30
Ambayo hii ukiappeal kwenda Court of Appeal kulingana na makosa yao wangekaa gerezani km miaka 5 hivi ndio waitwe Mahakamani.
Kwahiyo km wangepewa sentence ya 30's wangefanya adhabu za nje zote ngumu pia wangekuwa na vigezo vya kupelekwa magereza ya adhabu km kule Songea, mpk wanakuja kuitwa Mahakama wamenyooka.
PILI, ikitokea rufaa imegoma inawapandisha kifungo cha maisha ambapo napo kutoka ni mtihani
Credit: Eng_Matarra X
HahahhJF kuna ombwe la weledi, watu hawajui kesi yenye public interest hakuna hakimu wala Jaji wa kuchukuwa rushwa, wananyooka kama rula.
Wanaowapenda hao wabakaji waende gerezani kuwaandalia mazingiria ya chakula na kupata unyapara hiyo ndio feva pekee kwao wanaowakumbatia hao ibilisi wanaweza kuwasaidia.
Wakikata rufaa Jaji anapaswa kuongeza hukumu ya viboko na kazi ngumu.

Katiba imempa mamlaka ndio lakini kuna kifungu hapohapo kinasema, bunge litatunga sheria ili kumuelekeza raisi kutekeleza hayo matakwa ya kikatiba. Ndio maana misamaha ikitoka ina toa na sheria ambayo imemruhusu kufanya hivyo especially sheria ya magerezaHalafu kama ulikuwa hujui kuna geneara
Haya soma katiba art 45(2) inasemaje halafu ndio uendelee kubwabwaja
Hawa ni kati ya wachache ambao waliwahi kufungwa na sikuwaonea huruma. vijana walikuwa bado wa kiburi hadi kumtishia mwandishi wa habari kuwa akirudi uraiani atamshughulikia. hakuwa na remorse ya alichofanya.Hii sio good news ever.
Labda huelewi.
Kifungo cha maisha/Life sentence (L.S) haitawafundisha kitu hawa vijana. Kwanini nasema hivi.
1. L.S hawafanyi adhabu nje ya ngome ambazo ndio ngumu kumrekebisha mhalifu. Wao ni watu wa ndani tu kula na kulala. Wanaohukumiwa adhabu chini ya kifungo cha maisha, mfano niliyopata hupokea adhabu kali za nje ya ngome.
2. L.S hawalalii virago vibovu, wao magodoro na blanket ni nzuri na hawalali mabweni (Cells) zilizochakaa wao ni second high class baada ya #condemned.
- Nyundo na wenzake wakutwa na hatia, wahukumiwa kifungo cha Maisha Jela
3. Kulingana na sheria zetu hawa wakikaa miaka 20 wanaachiwa like hawakufanya lolote vile, sawa wanakuwa wamepoteza lkn hiyo 4m anayopewa victim haitamsaidia kitu, nikwambie na wakitoka huyo victim atakuwa 40'yrs old na hilo kwake halitakuwa limesahaulika.
4. Mind you huku uraiani ukiwa Public servant ukafanya kosa unachukiwa na kuzomewa ILA ukiingia JELA wewe ni Top Boss siku si chache atapewa mkanda na ataheshimiwa maana kule hakuna anayedeal na ulichofanya uraiani.
Huyu anaenda kustarehe...
ISITOSHE ana rufaa huyu akienda COURT OF APPEAL tutamuona uraiani nimesoma ground za kushinda ni nyingi kwasbb ya ubovu wa sheria zetu.
Mtakuja kuniambia.
Nilitegemea wafungwe miaka 30
Ambayo hii ukiappeal kwenda Court of Appeal kulingana na makosa yao wangekaa gerezani km miaka 5 hivi ndio waitwe Mahakamani.
Kwahiyo km wangepewa sentence ya 30's wangefanya adhabu za nje zote ngumu pia wangekuwa na vigezo vya kupelekwa magereza ya adhabu km kule Songea, mpk wanakuja kuitwa Mahakama wamenyooka.
PILI, ikitokea rufaa imegoma inawapandisha kifungo cha maisha ambapo napo kutoka ni mtihani
Credit: Eng_Matarra X
Nenda Kabeti ligi kuu ya Uingereza upate pesa, sheria haina betting, uhalifu wao uko wazi kabisa wanapaswa kuongezwa adhabu ya viboko, kazi ngumu na kiasi cha pesa ya fidia kiongezwe kama watakata rufaa.Mkuu mshana hawa watakata rufaa na watashinda. Ni suala la muda tu.
ExactlyHahahh
Katiba imempa mamlaka ndio lakini kuna kifungu hapohapo kinasema, bunge litatunga sheria ili kutekeleza raisi kutekeleza hayo matakwa ya kikatiba. Ndio maana misamaha ikitoka ina toa na sheria ambayo imemruhusu kufanya hivyo especially sheria ya magereza
Mkuu wa Magerez Ukonga apandishwa mahakamani kwa kesi ya rushwa na ya kufoji ma docuemt.Kuna uwezakano hao mkubwa katika kukata rufaa hao jamaa wakaachiwa au kupunguziwa adhabu .
Nilichokiona hapo ni swala la kuifurahisha jamii na sio weredi.
Mfano huyo Afande aliyewatuma wameshindwa vipi kumkamata na kumuunganisha katika hiyo kesi.
Then kumlipa muathirika mil 4 ni hela ndogo Sana.
Inategemea na mazingjra na umahiri wa wanasheria na sometimes maslahi ya kisiasa kwa bongoHivi ukitumwa ukaibe aliyekutuma ndio mwizi au wewe uliyeenda kuiba ndio mwizi? Tafsiri ya kisheria please
Ni andiko la Matarra kule X nimelinukuu hivyo Siwezi kulisemea aaba...Mkuu Mshana, Sio unachangsnya Madesa? Mimi Nilidhani hao unaowasema Watu wa Kula na Kulala bila Kazi ni wale waliopata adhabu ya Kifo...lakini Hawa wa Kifungo Cha Maisha, Kazi inawahusu! Ikoje hii ? ...
nakumbuka nipo selo nimeletewa supu na chapati askali magereza nae anaomba nimmegee chapati ashtue utumbo.😂😂😂Ogopa sana magereza za bongo maana mpka anayekulinda kule(askali magereza) nae njaa kali aelewi, nakumbuka nipo selo nimeletewa supu na chapati askali magereza nae anaomba nimmegee chapati ashtue utumbo.
Nyakati na mahitaji ya kisiasa yanaweza kupondua mezaHawa ni kati ya wachache ambao waliwahi kufungwa na sikuwaonea huruma. vijana walikuwa bado wa kiburi hadi kumtishia mwandishi wa habari kuwa akirudi uraiani atamshughulikia. hakuwa na remorse ya alichofanya.
Hawa kutoboa sio rahisi hata hoja za wakili wao naona ni dhaifu hata wakikata rufaa. eti mhusika alisema ameenjoy... wakili kanyaboya.
,😃😃😃😃Sifa ya kwanza inayomtambulisha mkristo ni kutokuwa na akili ya kufikiri yeye ni mtu wa kushikiwa akili tu mfano hata mimi leo nikisema usiku wa leo nilienda mbinguni na nimekula ugali na Yesu na kanituma nije kuwa nabii wewe Lupweko lazima uje kusali kanisani kwangu