Kifurushi chako cha DSTV kina channel za michezo! Fursa hii hapa

Hapana, DStv business imeletwa kwaajil ya ofis, ili tukusajil lazma uhakikiwe kweli una lesen ya biashara au tin number. Hakuna utapel wowote.
 
Leseni yoyote ya biashara au??[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwenzio juzi kalaa nondo ya miaka 5 wee jichanganye tuu
 
Hapanaaaa πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ lazma uwe na ofis na unatumia dstv ktk ofis yako
 
Hii kwa wale wanaoonesha mabanda ya mpira.
Ndo wamewekewa ili kupata faida.
 
Hapana, DStv business imeletwa kwaajil ya ofis, ili tukusajil lazma uhakikiwe kweli una lesen ya biashara au tin number. Hakuna utapel wowote.
Leseni za nini sasa? Tumi3ni tu wenyewe huo uninga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…