Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Ina MAANA Magari yote ya Magereza Mkoa wa Dsm Yaliharibika kwa Pamoja hiyo Tarehe 13/8?"Amri ya Mahakama ni sheria lakini inakuwaje DPP anaweza kuruka amri ya mahakama na bado akawa salama. 5/08/2021 hakimu ametoa amri mwenyekiti awe analetwa mahakama ya Kisutu. Jana tarehe 13/08/2021 hakuletwa kwa sababu inayoelezwa na DPP gari la Magereza ilikuwa bovu." - Kigaila
Ina MAANA Magari yote ya Magereza Mkoa wa Dsm Yaliharibika kwa Pamoja hiyo Tarehe 13/8?
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Hawa wastaafu na familia zao ndiyo hawataki katiba mpyaLi nchi la hovyo hili!
Serikali haikuwa na namna zaidi ya kuiahirisha hiyo kesi kwa kuisingizio cha gari bovu. Ujumbe wa nchi za nchi za nje uliokuja kuangalia mwenendo wa case ulitisha. Na imedhihirisha jinsi mahakama zetu zinavyoongozwa na dola.Sababu ya ubovu wa gari la magereza nadhani ni ya kitoto sana! Na nasikitisha zaidi kuona inatolewa na watu wazima, na wenye akili zao timamu!
Mkuu mahakama zipo South Africa, kule ukiidharau tu mvua zitakuhusu, hawataki mambo ya siasa kwenye sheria. SIASA na SHERIA ni sekta mbili TOFAUTI NA KILA MOJA INAJITEGEMEAIngekuwa Nchi ambayoo Mhimili wa Mahakama unajielewa, wangeshaagiza wale wote wanaokaidi na kubeza kwa makusudi agizo/amroi halali ya Mahakama wanakamatwa na kutupwa ndani kwa kile wanasheria wanachokiita "contempt of court". ila kwetu sasa, DPP yupo juu na anaweza akawaagiza Magereza nini wafanye/wasifanye
Wewe unaijua sheria lakini? Unataka mahakama ingeondoka kwenda kuhakiki kama kweli gari lililodaiwa kuwa bovu kwamba ndivyo lilvyo? Kwanini wakili wake hakutoa ombi mahakamani kwenda kuhakikisha kama taarifa za ubovu wa gari ni za kweli?"Amri ya Mahakama ni sheria lakini inakuwaje DPP anaweza kuruka amri ya mahakama na bado akawa salama. 5/08/2021 hakimu ametoa amri mwenyekiti awe analetwa mahakama ya Kisutu. Jana tarehe 13/08/2021 hakuletwa kwa sababu inayoelezwa na DPP gari la Magereza ilikuwa bovu." - Kigaila
Na baya zaidi huo upuuzi unapata kushangiliwaMkuu kama ikulu iliweza kumtuma Sabaya kufanya uhalifu, inashindwa nini kumtuma mtu mwingine kufanya kituko kingine!? Kwa makada wa CCM kila aina ya upuuzi unawezekana.
You do not have a point."Amri ya Mahakama ni sheria lakini inakuwaje DPP anaweza kuruka amri ya mahakama na bado akawa salama. 5/08/2021 hakimu ametoa amri mwenyekiti awe analetwa mahakama ya Kisutu. Jana tarehe 13/08/2021 hakuletwa kwa sababu inayoelezwa na DPP gari la Magereza ilikuwa bovu." - Kigaila
If You haVe not seen a point over there, then you are POINTLESSYou do not have a point.
Nchi hii pekee ndiyo tuliyopewa bila malipo na Mungu,tuipiganie itoke kuwa la hovyo Mkuu.Li nchi la hovyo hili!