Kigaila: Inakuwaje DPP anaweza kuruka amri ya Mahakama na bado akawa salama

Mkuu kweli kabisa KATIBA MPYA ni muhimu sana kwa sasa. Ebu fikria mtu anaamka tu na kuanza kubomoa nyumba za watu bila hata sababu za MSINGI na bila hata FIDIA, ukimuuliza anakwambia kuwa ardhi ni mali ya Serikali na ni ya rais, na ameamua kujenga barabara 8. Mwisho wa siku baada ya kubomoa nyumba za watu anabaki na li-ardhi takribani kati ya mita 80 hadi 100 kila upande hana kazi nazo na hivyo anaanza eti anakodisha!!!! Kweli!! I we serous na maisha ya watu wetu?
 
Kwa sasa kila kitu cha ajabu katika nchi hii kinawezekana. Watu wanakanyaga katiba na kuvunja sheria bila wasiwasi.
 
Tutahakikisha sheria inafuata mkondo
 
mahakama ni chaka la ccm, mahakimu na majaji ni wateule wa rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…