Kigamboni: Eneo lenye watu Wapole, Wavumilivu na Wanaonewa zaidi na Serikali yao

uran

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
19,101
Reaction score
31,995
Kigamboni, yaani wanaonewa kwa kila kitu.
1. Kivuko sasa wanalipa Tsh 500 kutoka Tsh 200. ni ongezeko la 150% wote kimya.

2. Ndiyo wananchi wenye toll road (Barabara ya kulipia) wakati sio luxury.
Hakuna kelele.

3. Hawana mwakilishi for almost 7 months. Wamepiga kimya.

4. Siku kadhaa pamoja na leo ukifika feri unarudishwa upite Darajani. (Kivuko hakifanyi kazi) hutasikia ikiripotiwa popote licha ya utitiri wa Online medias.

So leo tukubaliane kuishi Kigamboni uwe mpole, mvumilivu na uwe tayari kuonewa na kukandamizwa na serikali yako.

Asante.
 
poleni sana huko --- wananchi wapaze sauti
 
kuna njia nne tofauti za kufika kigamboni;
1. kivukoni - kuna malipo kwa watumia kivuko

2. darajani - kuna malipo kwa wenye vipando

3. chekechea - hakuna malipo

4. kongowe - hakuna malipo
Fikra mfu.
Kwani kuna njia ngapi za kwenda Masaki?
Au Kinondoni? Au Kimara?
Hao watu wanalipa bei gani kama toll kufika kwao?
Fyalaaa
 
Back
Top Bottom