Kigamboni: Eneo lenye watu Wapole, Wavumilivu na Wanaonewa zaidi na Serikali yao

Kigamboni: Eneo lenye watu Wapole, Wavumilivu na Wanaonewa zaidi na Serikali yao

Kigamboni, yaani wanaonewa kwa kila kitu.
1. Kivuko sasa wanalipa Tsh 500 kutoka Tsh 200. ni ongezeko la 150% wote kimya.

2. Ndiyo wananchi wenye toll road (Barabara ya kulipia) wakati sio luxury.
Hakuna kelele.

3. Hawana mwakilishi for almost 7 months. Wamepiga kimya.

4. Siku kadhaa pamoja na leo ukifika feri unarudishwa upite Darajani. (Kivuko hakifanyi kazi) hutasikia ikiripotiwa popote licha ya utitiri wa Online medias.

So leo tukubaliane kuishi Kigamboni uwe mpole, mvumilivu na uwe tayari kuonewa na kukandamizwa na serikali yako.

Asante.
Vivuko vyote viwili vipo cha 500 na 200.

Kama una haraka unapanda cha 500, kama huna 500 kivuko cha 200 kipo.
 
Back
Top Bottom