kadiri kasimba
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 588
- 1,150
Ndo maana nikasema mkuu mitano Tena!🙌🙌Gari ni 1500×2 =3000 per day.
Just kwasababu unaishi kigamboni.
Mbona Kinondoni au Mbezi hawalipii kwenda nyumbani kwao.
Ndo maana nikasema mkuu mitano Tena!🙌🙌Gari ni 1500×2 =3000 per day.
Just kwasababu unaishi kigamboni.
Mbona Kinondoni au Mbezi hawalipii kwenda nyumbani kwao.
Lini unaenda kumtembelea upite na kwangu?😂😂😂Ila kuishi kigas inahitaji utayari, au laa uwe middle class income, vinginevyo ni mateso.
Kunae mate alikua anaishi kule, nlikua napata wakati mgumu kumtembelea, zile heka heka za ferry, mara ndani ya panton usumbufu, nlikua nachoka hatarii.
Maji sasa, chumvi tupu, iwe kisima au bomba, yaan shida kabisaa. Aaah nkamshauri ahame, na kweli akahama, now yuko kimara, full kula life.
Kesho kutwa. 😂😂😂😂Lini unaenda kumtembelea upite na kwangu?😂😂😂
Ipo mkoa gani mkuuNjoo namanyere hakuna kivuko
Nchi kubwa hii
Usisite kupitia na kwangu, uje unishauri😎😎Kesho kutwa. 😂😂😂😂
Jambo gani? Naweza kukushauri hapa hapaUsisite kupitia na kwangu, uje unishauri😎😎
Si km met ulivyomshauri ahame 😂😂Jambo gani? Naweza kukushauri hapa hapa
kuna njia nne tofauti za kufika kigamboni;
Yan ukazunguke Mbagala rangi tatu au uingilie misheni then kijichi kisa kukwepa hizo chaji?? Gharama ya fuel na kms unazokula umezi consider??3. chekechea - hakuna malipo
4. kongowe - hakuna malipo
Uko wapi kwani, nikushauri hapa hapa fastaaa.Si km met ulivyomshauri ahame 😂😂
Rukwa nkasiIpo mkoa gani mkuu
Sawa mkuu nashukuru kwa kunijuzaRukwa nkasi
Ndio kama unataka lile kubwa 200hii 500 ni ya sea tax?
Njoo Matai naweNjoo namanyere hakuna kivuko
Nchi kubwa hii
Aisee labda uwe unakuja kwakoIla kuishi kigas inahitaji utayari, au laa uwe middle class income, vinginevyo ni mateso.
Kunae mate alikua anaishi kule, nlikua napata wakati mgumu kumtembelea, zile heka heka za ferry, mara ndani ya panton usumbufu, nlikua nachoka hatarii.
Maji sasa, chumvi tupu, iwe kisima au bomba, yaan shida kabisaa. Aaah nkamshauri ahame, na kweli akahama, now yuko kimara, full kula life.
Upo matai wapi jana nlikuwa hapo matai BNjoo Matai nawe
Kabisaa yaan.Aisee labda uwe unakuja kwako