Kigamboni: Eneo lenye watu Wapole, Wavumilivu na Wanaonewa zaidi na Serikali yao

Wakati nasoma hayo maeneo kuna siku mwizi aliiba simu ya mtu watu walivyoanza kumkimbiza akakimbia kuingia baharini. Watu wakawa wanamsubiri huku upande wa Posta.

Raia walivyoona hana dalili ya kutoka wakaanza kurusha mawe, jamaa akasogea mbali zaidi.

Raia wakakodi mtumbwi wakaanza kumfuata. Yule mwana alikua anaelea huku kanyanyua mkono mmoja simu isilowe ila alivyoona wanamfuata na mtumbwi akaachia simu.

Ile siku watu walikua wamevurugwa
Ikawaje Sasa???
 
K
Kigamboni, yaani wanaonewa kwa kila kitu.
1. Kivuko sasa wanalipa Tsh 500 kutoka Tsh 200. ni ongezeko la 150% wote kimya.

2. Ndiyo wananchi wenye toll road (Barabara ya kulipia) wakati sio luxury.
Hakuna kelele.

3. Hawana mwakilishi for almost 7 months. Wamepiga kimya.

4. Siku kadhaa pamoja na leo ukifika feri unarudishwa upite Darajani. (Kivuko hakifanyi kazi) hutasikia ikiripotiwa popote licha ya utitiri wa Online medias.

So leo tukubaliane kuishi Kigamboni uwe mpole, mvumilivu na uwe tayari kuonewa na kukandamizwa na serikali yako.

Asante.
Kama ni mgeni huku utapata shida ila kwa wakazi wameshazoea formation, wenye magari wanatumia daraja labda kama akitaka kubet feri ila wa usafiri wa uma ndo feri,,,,,kuna namna cha 500 kimeokoa muda kuliko cha 200, kama hujisikii kupita feri kwa sasa kigamboni kuna ruti zimeongezeka za kuingia mjini na daladala , kikubwa kubaliana na hali ya watu kama wa kimara au huko tegeta........sahv feri mtu anapita kama anataka uharaka wa kuingia mjini ila option nyingine zipo
 
Acha rongorongo, kwani , unawajua wote?
 
Kigamboni wanakaa wapemba wengi, ndio maana hakuna kulalama
 
Hahaha......... Kijiji beach huwa nakwenda mara chache chache

Siku ukikutana na Mzee mrefu anatembelea mkongojo hapo Kijiji beach basi ujue ni Mimi huyo 😜
Huko bia moja ni 4k
 
Kwa mnaotarajia kuja kuvuka feri na gari msije!! Piteni Darajani.

Wewe wa 200 leo lazima ulipe 500.
Yaani kama ni 500 kuingia na kutoka 500,kila siku Kwa mwaka unakuwa umetumia 365000, kuvuka Tena kwenye nnchi Yako mwenyewe! Hiyo ni mtu mmoja, mitano Tena Kwa kweli!
 
Gari ni 1500×2 =3000 per day.
Just kwasababu unaishi kigamboni.

Mbona Kinondoni au Mbezi hawalipii kwenda nyumbani kwao.
 
K

Kama ni mgeni huku utapata shida ila kwa wakazi wameshazoea formation, wenye magari wanatumia daraja labda kama akitaka kubet feri ila wa usafiri wa uma ndo feri,,,,,kuna namna cha 500 kimeokoa muda kuliko cha 200, kama hujisikii kupita feri kwa sasa kigamboni kuna ruti zimeongezeka za kuingia mjini na daladala , kikubwa kubaliana na hali ya watu kama wa kimara au huko tegeta........sahv feri mtu anapita kama anataka uharaka wa kuingia mjini ila option nyingine zipo
hii 500 ni ya sea tax?
 
Back
Top Bottom