Hata huku Mlele. Mto Kivuu unatusumbua balaa.Njoo namanyere hakuna kivuko
Nchi kubwa hii
Babu kumbe upo kigambn hii hii, ?Sijapita muda mrefu njia ya Ferry, mara ya mwisho nilivuka Ferry kwa kulipia shilingi 2,000 nikiwa na gari
Baada ya kuona muda mrefu ninaotumia kusubiri Panton nikaona bora niwe navuka darajani tu, ambapo nauli ni shilingi 1,500 Kila unapovuka
Hata hivyo sidhani kama ni sahihi kuwachaji raia shilingi 500 kuvuka pale ferry kutoka shilingi 200
Labda Kwa kuwa biashara ya kuvusha watu na magari pale amepewa (Barhessa) Azam marine kukiendesha 🙌
Kwasasa Serikali haijali kabisa raia wake 🙌
Kimara napo si shida maji, usafiri,kama una gari foleni,wakat wa mvua njiaaa tope +mashimo auIla kuishi kigas inahitaji utayari, au laa uwe middle class income, vinginevyo ni mateso.
Kunae mate alikua anaishi kule, nlikua napata wakati mgumu kumtembelea, zile heka heka za ferry, mara ndani ya panton usumbufu, nlikua nachoka hatarii.
Maji sasa, chumvi tupu, iwe kisima au bomba, yaan shida kabisaa. Aaah nkamshauri ahame, na kweli akahama, now yuko kimara, full kula life.
Humu jf kuna watu hupenda kuwakera tu wenzao,ili kumfurahisha ni kukubaliana naeSawa, low income tuko wakutosha.
Nyie ndio mpo wachache kuliko sisi.
Huko si anakaa mwandishi wa vitabu vya ujasusi vipi ameshindwa kuwasaidia amjirani?Kigamboni, yaani wanaonewa kwa kila kitu.
1. Kivuko sasa wanalipa Tsh 500 kutoka Tsh 200. ni ongezeko la 150% wote kimya.
2. Ndiyo wananchi wenye toll road (Barabara ya kulipia) wakati sio luxury.
Hakuna kelele.
3. Hawana mwakilishi for almost 7 months. Wamepiga kimya.
4. Siku kadhaa pamoja na leo ukifika feri unarudishwa upite Darajani. (Kivuko hakifanyi kazi) hutasikia ikiripotiwa popote licha ya utitiri wa Online medias.
So leo tukubaliane kuishi Kigamboni uwe mpole, mvumilivu na uwe tayari kuonewa na kukandamizwa na serikali yako.
Asante.
Kwa canoesMnavuka kwa kulipa?
Hahaha.......nipo Mjukuu, siku moja moja huwa napita Norasco pub kuosha macho kidogo 🤗Babu kumbe upo kigambn hii hii, ?
Nolasco napita tuu njiaHahaha.......nipo Mjukuu, siku moja moja huwa napita Norasco pub kuosha macho kidogo 🤗
Ndiyo mitaa yetu hiyo Wazee pension ikiwa imetoka 🤗Nolasco napita tuu njia
Poleni sanaKigamboni, yaani wanaonewa kwa kila kitu.
1. Kivuko sasa wanalipa Tsh 500 kutoka Tsh 200. ni ongezeko la 150% wote kimya.
2. Ndiyo wananchi wenye toll road (Barabara ya kulipia) wakati sio luxury.
Hakuna kelele.
3. Hawana mwakilishi for almost 7 months. Wamepiga kimya.
4. Siku kadhaa pamoja na leo ukifika feri unarudishwa upite Darajani. (Kivuko hakifanyi kazi) hutasikia ikiripotiwa popote licha ya utitiri wa Online medias.
So leo tukubaliane kuishi Kigamboni uwe mpole, mvumilivu na uwe tayari kuonewa na kukandamizwa na serikali yako.
Asante.
Daah aseeh me mjukuu siku moja moja napoa pweza au Kijiji beach, huko hapana sijui mzee wangu Dr am 4 real PhDNdiyo mitaa yetu hiyo Wazee pension ikiwa imetoka 🤗
Nipe mualiko iddi ijayooDaah aseeh me mjukuu siku moja moja napoa pweza au Kijiji beach, huko hapana sijui mzee wangu Dr am 4 real PhD