Ndungulile bye bye! Japo anaongoza kura za maoni akifika kwa jiwe atakatwa tu. Mbunge ajaye wa Kigamboni ni Makonda.Hahahaaaa...... Rudia tena bwashee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndungulile bye bye! Japo anaongoza kura za maoni akifika kwa jiwe atakatwa tu. Mbunge ajaye wa Kigamboni ni Makonda.Hahahaaaa...... Rudia tena bwashee!
Endelea kumdanganya upate kuishi!Ndungulile bye bye! Japo anaongoza kura za maoni akifika kwa jiwe atakatwa tu. Mbunge ajaye wa Kigamboni ni Makonda.
Wananchi wa Kigamboni wanasema hata kama mbunge wa sasa wa jimbo hilo Dkt. Ndugulile hatapitishwa na CCM kugombea bado atakumbukwa daima na wapiga kura.
Wamesema Dkt. Ndugulile alisimama kidete kuwatetea barazani na bungeni ili manyang'au wasipole ardhi yao.
Wamedai waziri mstaafu Prof Tibaijuka na madiwani wakiongozwa na Selemani Methew ambaye kwa sasa ni kiongozi mkubwa wa CHADEMA walipanga kuiuza Kigamboni kwa mabeberu na walipelekwa hadi Ulaya kutalii lakini mbunge Ndugulile alikataa katakata kuwa sehemu ya uchafu huo.
Wananchi wamesisitiza kuwa wako pamoja na Dkt. Ndugulile kwani " usione vyaelea vimeundwa"
Nawatakia Sabato yenye baraka
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa....... Nimemkuta Pierre Liquid akiwa na furaha ya ajabu!Beberu mkubwa ni huyu mwanaharamu alieshindwa kwenye kura za maoni leo, kwa kitendo tu cha kumshinda Bashite, Tumjengee mnara wa kumbukumbu
Aaaaiiiiseeee🤔🤔🤔🤪🤪😷Kauli yake ya kupinga nyungu na barakoa za vitambaa ndio imemponza
Alichosahau kwamba Waziri wa Ccm ni mkubwa kuliko diwani wa CDM...Si ungesema pia kuwa Profesa Tibaijuka ni wa CCM? Na kuwa alikuwa ana wakilisha serikali ya CCM. Mpango mzima wa Kigamboni New City ulikuwa wa serikali kuu, sio wa serikali ya mtaa. Na ulikwama sio kwa sababu ya mbunge bali wawekezaji kukosekana.
Amandla...
Mkuu naona umetafuta weeeee utakapomuona mtu wa Chadema ulipompata ukaanzisha uzi chap chap. Huko Kigamboni kwanza liccm linaenda kupasuka na upo uwezekano Ndugulile akahamia kule kwingine na akashinda ubunge. Yani kama ni kufeli hesabu basi CCM imefeli Kawe, Ubungo na Kigamboni.
Ana bahati mbaya safari hii ,Mtoto Pendwa kaja!!
Hakuna cha mtoto pendwa hapo,nguvu ya umma ni balaaa,Imeshamtupa huko kafa kifo cha mende.Ana bahati mbaya safari hii ,Mtoto Pendwa kaja!!
Vijana Wana tanaa hawaridhikiNdungulile bye bye! Japo anaongoza kura za maoni akifika kwa jiwe atakatwa tu. Mbunge ajaye wa Kigamboni ni Makonda.