Kigamboni: Ndugulile tutakukumbuka kwa kuipigania ardhi yetu isiuzwe kwa mabeberu na akina Methew wa CHADEMA

Kigamboni: Ndugulile tutakukumbuka kwa kuipigania ardhi yetu isiuzwe kwa mabeberu na akina Methew wa CHADEMA

Beberu mkubwa ni huyu mwanaharamu alieshindwa kwenye kura za maoni leo, kwa kitendo tu cha kumshinda Bashite, Tumjengee mnara wa kumbukumbu
Wananchi wa Kigamboni wanasema hata kama mbunge wa sasa wa jimbo hilo Dkt. Ndugulile hatapitishwa na CCM kugombea bado atakumbukwa daima na wapiga kura.

Wamesema Dkt. Ndugulile alisimama kidete kuwatetea barazani na bungeni ili manyang'au wasipole ardhi yao.
Wamedai waziri mstaafu Prof Tibaijuka na madiwani wakiongozwa na Selemani Methew ambaye kwa sasa ni kiongozi mkubwa wa CHADEMA walipanga kuiuza Kigamboni kwa mabeberu na walipelekwa hadi Ulaya kutalii lakini mbunge Ndugulile alikataa katakata kuwa sehemu ya uchafu huo.

Wananchi wamesisitiza kuwa wako pamoja na Dkt. Ndugulile kwani " usione vyaelea vimeundwa"

Nawatakia Sabato yenye baraka

Maendeleo hayana vyama!
 
Beberu mkubwa ni huyu mwanaharamu alieshindwa kwenye kura za maoni leo, kwa kitendo tu cha kumshinda Bashite, Tumjengee mnara wa kumbukumbu
Hahahaaaa....... Nimemkuta Pierre Liquid akiwa na furaha ya ajabu!
 
Si ungesema pia kuwa Profesa Tibaijuka ni wa CCM? Na kuwa alikuwa ana wakilisha serikali ya CCM. Mpango mzima wa Kigamboni New City ulikuwa wa serikali kuu, sio wa serikali ya mtaa. Na ulikwama sio kwa sababu ya mbunge bali wawekezaji kukosekana.

Amandla...
Alichosahau kwamba Waziri wa Ccm ni mkubwa kuliko diwani wa CDM...
 
Mchawi huaibika asubuhi
Mkuu naona umetafuta weeeee utakapomuona mtu wa Chadema ulipompata ukaanzisha uzi chap chap. Huko Kigamboni kwanza liccm linaenda kupasuka na upo uwezekano Ndugulile akahamia kule kwingine na akashinda ubunge. Yani kama ni kufeli hesabu basi CCM imefeli Kawe, Ubungo na Kigamboni.
 
Ndungulile bye bye! Japo anaongoza kura za maoni akifika kwa jiwe atakatwa tu. Mbunge ajaye wa Kigamboni ni Makonda.
Vijana Wana tanaa hawaridhiki
Sijamtuma mtu kugonbea alisikika mh RAIS na kigamboni walielewa vyema kauli za viongozi wakuu wa chama na serikali pia, Asubiri Viti maalum
 
Back
Top Bottom