Financial Hustler
New Member
- Jan 27, 2021
- 2
- 5
Naam, habari zenu wanajukwaa.
Kama ambavyo kichwa cha habari kinavyojionesha hapo juu, ni hivi kumekuwa na biashara ya ukahaba ambayo imekuwa iliendelea katika viwanja vya shule ya sekondari ya PAUL MAKONDA iliyopo wilaya ya Kigamboni, kata ya Kigamboni mtaa wa Chagani kwa zaidi ya miaka mingi Sasa.
Ila kilichofanya niandike Uzi huu ni kutokana na madada poa hawa(machangudoa) hawa kutumia majengo ya vyoo pamoja na majengo mengine ambayo ujenzi unaendelea (Mali za shule ya SEKONDARI PAUL MAKONDA) kufanya vitendo vya NGONO na wateja zao nyakati za usiku kuanzia Majira ya saa 1 mpaka saa 6-7 huko, huku wakila dili na mlinzi wa shule Kwa kumpa pesa Ili kuendeleza ufuska wao hapo.
Kwahiyo mamlaka zinazohisika (Jeshi la polisi na serikali ya mtaa ya kigamboni) naomba walifanyie kazi suala hili Kwa kuhakikisha wanakomesha tabia hii Ili kunusuru watoto wanaosoma hapo maana imekuwa kawaida kukuta mabaki ya zana zilizotumika hivyo inaweza kuwaharibu kisaikolojia na pia kuchangia tabia mbovu miongoni mwao.
Naomba kuwasilisha.