Kigamboni: Watuhumiwa kutandaza mabomba na kuiba mafuta yanayoenda bandarini


Hujui chochote mradi wake huo through Kakoko...
Mwarabu gani...?
Hii imevumbuliwa ktk ufuatiliaji...wa Mama.
Unafikiri kwa nn bado Kakoko yupo ndani ?
Mama hafoki foki...
JPM angekuwa sio jambazi hao akina Sabaya wangefanya yote haya tunayasikia....leo
 
Naunga ✋ 100% huyu jamaa alikuwa jambazi aliyejificha nyuma ya kivuli cha kutetea wanyonge
 
Mimi naona Hawa jamaa wanaonewa tu...sisi tunawahitaji zaidi wafanyabiashara kuliko wanavyotuhitaji sisi...Hawa wamebambikiwa suala hili...watu tumefungua nchi halafu nyie mnaleta za kuleta....waachiwe haraka...tehtehteh
 
Nchi ngumu Sana hii, usishangae akidakwa, ataipata watetezi kama ilivyokuwa Kwa wengine kina Lugumi na kina Manji
 
huu uhalifu tunaomba vyombo vyetu vyote vya ulinzi na usalama vifuatilie ili kuchunguza kwa kina juu ya uhalifu huu.
 
akili kubwa, mastermind wa huu mchongo anatakiwa apewe tuzo ya amani, hii ndio vita ya kiuchumi sasa
 
Kama hivi ndivyo na ndivyo inavyotakiwa kuwa ilikuwaje "mzee baba" akajivika vyeo vyote hata kutamani "i kudu bii aijipii!!"???
 
Sio kudakwa tu serikali haijatoa hata neno moja kwenye ujambazi huo
Ukiona hivyo kuna "jizi ngazi za juu... au lililotumiwa" Huyu DC katimiza wajibu wake ila nadhani saa hizi itakuwa anahojiwa!!!
 
Mimi naona Hawa jamaa wanaonewa tu...sisi tunawahitaji zaidi wafanyabiashara kuliko wanavyotuhitaji sisi...Hawa wamebambikiwa suala hili...watu tumefungua nchi halafu nyie mnaleta za kuleta....waachiwe haraka...tehtehteh
Hili tukio siyo la jana wala juzi
Inaonekana wamekuwa wakifanya muda
Sana

Ova
 
Hili tukio siyo la jana wala juzi
Inaonekana wamekuwa wakifanya muda
Sana

Ova
Ok.....wawe wanaambiwa wameanza Jana au juzi au mwaka Jana au mwaka juzi au hata wakati was JK au Mkapa au Mwinyi au hata wakati was Nyerere nadhani Hawa jamaa wanabambikiwa tu...sisi tunawahitaji zaidi wafanyabiashara kuliko wanavyotuhitaji sisi...waachiwe tu na wafanye biashara ya mafuta ...kukamatwa kwao kutaathiri biashara ya mafuta na hasa huko vijijini au mikoani...watu wanaweza kufunga vituo vya mafuta kwa kukosa mafuta .
 
Wizi wa mafuta Kigamboni umeanza kitambo saaaana aisee, umewatajirisha wengi, wachache wapo jela, wengine mtaani wanalisongesha. Hapo waliokamatwa wataenda jela, jamaa watafungua sehemu nyingine tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…