Kigezo alichotumia Rais Samia kuongeza posho za wanafunzi akitumie pia kuongeza posho zetu askari

Kigezo alichotumia Rais Samia kuongeza posho za wanafunzi akitumie pia kuongeza posho zetu askari

Wewe unayejiita askari ni muhuni tu.

Maslahi yenu daini huko kambini/kituoni kwenu.

Unamuomba rais aongeze pesa hapa JF kwani wewe ulijiunga na jeshi ili uwe tajiri.

Ridhika na mshahara wako mbona ni mkubwa sana?

Ukiendelea kulalamika hapa atapunguza kabisa au umeoa wake wengi kutegemea mshahara na posho nyingi?
 
Ulifikiri wanapewa BURE? HILO NI BOOM LAZIMA URUDISHE ILI WENGINE WAPATE SIO UNAFURAHIA KUONGEZWA TU FURAHIA NA KUREJESHA

NAONA MADOGO WANAMODIFY MAGETO YA KUTOMBEA TU HUKU MTAANI KUMBE PESA ZA BOOM
Kwanza kwann unaandika kwa Lugha ya matusi pia sisi Askari tuna Hali mbaya ya kiuchumi w
Kweli Kweli.
 
Kwanza kwann unaandika kwa Lugha ya matusi pia sisi Askari tuna Hali mbaya ya kiuchumi w
Kweli Kweli.
Madogo wamekopeshwa hawajapewa bure zile watazirudisha kwa jasho na damu sio wanazifurahia tu na wengine wameanza kuongeza idadi ya mademu kisa mama kawaongezea pesa, nyinyi ombeni mama awape mkopo atawapawapaje hapo sasa kuneni vichwa Ila madogo wamekopeshwa hakuna bure pale
 
Mh rais rais Askari tunahitaji uongeze posho zetu kwa KIGEZO kilekile kwamba gharama za maisha zimepanda!! Kama ilivyo kwa watu wengine nasi maisha yamepanda Sana hivyo hakikisha unaongeza posho zetu ikiwezekana kabla ya mwezi July...
Huko majeshini mmejaa watu wasio na akili kupitia huu uzi nimethibitisha
 
Rais Samia tunakusalimu. Mama tunakuomba uongeze ppsho zetu ambazo hazijaongezwa kwa muda mrefu sasa.

Mhe. Rais wewe tu ndio bado hujaona umuhimu wa kuweka....

Nyie subirini mtapewa vijiposho wakati wa uchaguzi kwa kubeba mabox ya kura ili CCM iendelee kukaa madarakani. Kama mnataka mabadiliko acheni kutumika kama maboya kuwaweka CCM madarakani.

Jiungeni na sisi wananchi tunaotaka mabadiliko hata kwa kupindua serikali ili tuanze upya. Kinyume na hapo thamani yenu itakuwa wakati wa wizi wa kura tu.

Na CCM wameshawajua kuwa nyie ni akili ndogo nguvu nyingi. Hivyo wakati wa uchaguzi viongozi wenu wanatupiwa vinono, kisha wanawaagiza nyie mnaoshi kwenye nyumba za mabati kwenda kusimamia wizi wa kura. Halafu mkishasimamia wizi wa kura mnapewa viposho fulani mnaona ni bonge la sifa.
 
Umeongea jambo zuri Ili kilio chenu kijibiwe mapema wambieni wawakilishi wenu huko juu (baraza la mawaziri) wamshawishi mama hizo posho zitaongezwa kutoka chanzo kipi cha mapato.

Kumbuka kuwa hata wanafunzi walimshawishi kuongeza utafiti makini na wakahiidi kujitolea Kama itahitajika kupendekeza njia sahihi kutatua majanga yanayotokea kwenye Jamii.
 
Nyie subirini mtapewa hela ya kula wakati wa uchaguzi kwa kubeba kura za wizi. Hamna umuhimu huo. Wenye umuhimu kwenye nchi hii ni viongozi wa CCM.

Nyie mtaishia kusifiwa kwa kuwadhibiti wapinzani. Na sifa hiyo huwa inawavimbisha kichwa ile mbaya.
 
Rais Samia tunakusalimu. Mama tunakuomba uongeze ppsho zetu ambazo hazijaongezwa kwa muda mrefu sasa.

Mhe. Rais wewe tu ndio bado hujaona umuhimu wa kuweka alama yako katika vyombo vyako tofauti na watangulizi wako...

Duh! Umeongea kwa uchungu! Polen
 
Rais Samia tunakusalimu. Mama tunakuomba uongeze ppsho zetu ambazo hazijaongezwa kwa muda mrefu sasa.

Mhe. Rais wewe tu ndio bado hujaona umuhimu wa kuweka alama yako katika vyombo vyako tofauti na watangulizi wako...
Posho ya laki 3 bado haiwatoshi?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe unayejiita askari ni muhuni tu.
Maslahi yenu daini huko kambini/kituoni kwenu.
Unamuomba rais aongeze pesa hapa JF kwani wewe ulijiunga na jeshi ili uwe tajiri.
Ridhika na mshahara wako mbona ni mkubwa sana.?
Ukiendelea kulalamika hapa atapunguza kabisa au umeoa wake wengi kutegemea mshahara na posho nyingi?
 
Nyie subirini mtapewa vijiposho wakati wa uchaguzi kwa kubeba mabox ya kura ili CCM iendelee kukaa madarakani. Kama mnataka mabadiliko acheni kutumika kama maboya kuwaweka CCM madarakani...
dah
 
Mwaka 2015 October posho zenu ziliongezwa illegal baada ya CCM kuona hali ngumu.

Kama mnapenda haki irudushwe kwanza ya zamani kisha ndo muanze kudai upya
 
Hakuna kiasi kilichoongezwa ela ni ile ile .......NI SIASA TU ....Angalia kweny hiyo picha hiyo ni sms ya nmb ya tareh 17-3-2023 ambapo aliahidi kuongez na kua 10000/=per day ambapo mwanzo ilikua 8000/=per day ambapo jumla ilitakiwa iwe 620000 LAKIN CHA KUSHANGAZA HAKUNA MABADILIKO ZAIDI ILIKUA NI MOJA YA SIASA
IMG-20230317-WA0013.jpg
 
Rais Samia tunakusalimu. Mama tunakuomba uongeze ppsho zetu ambazo hazijaongezwa kwa muda mrefu sasa.

Rais Samia wewe tu ndio bado hujaona umuhimu wa kuweka alama yako katika vyombo vyako tofauti na watangulizi wako.

Rais Samia sisi askari wako hatuna muda wa ziada wa kujitafutia vipato vya ziada nje ya stahiki zetu Kama ambavyo watumishi wenzetu hufanya maana muda wote tuko utumwani makambini mwetu au nje tukihakikisha Taifa liko salama.

Wizara ya Ulinzi na Wizara ya Mambo ya Ndani tunakuomba uchukue hatua za haraka kutunusuru na ugumu huu wa maisha. Mama njaa haifichwi kamwe.

Tunakupenda sana lakini tuna njaa inayotishia ufanisi wa kazi zetu kama Askari wa nchi hii.

Kazi njema mama.
Ataongeza kutegemea kiwango cha elimu yenu. Kuanzia graduate na kuendelea.
 
Back
Top Bottom