Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Kwanza kwann unaandika kwa Lugha ya matusi pia sisi Askari tuna Hali mbaya ya kiuchumi wUlifikiri wanapewa BURE? HILO NI BOOM LAZIMA URUDISHE ILI WENGINE WAPATE SIO UNAFURAHIA KUONGEZWA TU FURAHIA NA KUREJESHA
NAONA MADOGO WANAMODIFY MAGETO YA KUTOMBEA TU HUKU MTAANI KUMBE PESA ZA BOOM
Madogo wamekopeshwa hawajapewa bure zile watazirudisha kwa jasho na damu sio wanazifurahia tu na wengine wameanza kuongeza idadi ya mademu kisa mama kawaongezea pesa, nyinyi ombeni mama awape mkopo atawapawapaje hapo sasa kuneni vichwa Ila madogo wamekopeshwa hakuna bure paleKwanza kwann unaandika kwa Lugha ya matusi pia sisi Askari tuna Hali mbaya ya kiuchumi w
Kweli Kweli.
Huko majeshini mmejaa watu wasio na akili kupitia huu uzi nimethibitishaMh rais rais Askari tunahitaji uongeze posho zetu kwa KIGEZO kilekile kwamba gharama za maisha zimepanda!! Kama ilivyo kwa watu wengine nasi maisha yamepanda Sana hivyo hakikisha unaongeza posho zetu ikiwezekana kabla ya mwezi July...
Rais Samia tunakusalimu. Mama tunakuomba uongeze ppsho zetu ambazo hazijaongezwa kwa muda mrefu sasa.
Mhe. Rais wewe tu ndio bado hujaona umuhimu wa kuweka....
Rais Samia tunakusalimu. Mama tunakuomba uongeze ppsho zetu ambazo hazijaongezwa kwa muda mrefu sasa.
Mhe. Rais wewe tu ndio bado hujaona umuhimu wa kuweka alama yako katika vyombo vyako tofauti na watangulizi wako...
Posho ya laki 3 bado haiwatoshi?Rais Samia tunakusalimu. Mama tunakuomba uongeze ppsho zetu ambazo hazijaongezwa kwa muda mrefu sasa.
Mhe. Rais wewe tu ndio bado hujaona umuhimu wa kuweka alama yako katika vyombo vyako tofauti na watangulizi wako...
Wewe unayejiita askari ni muhuni tu.
Maslahi yenu daini huko kambini/kituoni kwenu.
Unamuomba rais aongeze pesa hapa JF kwani wewe ulijiunga na jeshi ili uwe tajiri.
Ridhika na mshahara wako mbona ni mkubwa sana.?
Ukiendelea kulalamika hapa atapunguza kabisa au umeoa wake wengi kutegemea mshahara na posho nyingi?
dahNyie subirini mtapewa vijiposho wakati wa uchaguzi kwa kubeba mabox ya kura ili CCM iendelee kukaa madarakani. Kama mnataka mabadiliko acheni kutumika kama maboya kuwaweka CCM madarakani...
Hizo hizo ndyHizihizi four za 28-30, zilizopitishwa kipindi cha JK, zinazofanya kazi kwa maslahi ya dola bila kuzingatia haki za wananchi?
Ataongeza kutegemea kiwango cha elimu yenu. Kuanzia graduate na kuendelea.Rais Samia tunakusalimu. Mama tunakuomba uongeze ppsho zetu ambazo hazijaongezwa kwa muda mrefu sasa.
Rais Samia wewe tu ndio bado hujaona umuhimu wa kuweka alama yako katika vyombo vyako tofauti na watangulizi wako.
Rais Samia sisi askari wako hatuna muda wa ziada wa kujitafutia vipato vya ziada nje ya stahiki zetu Kama ambavyo watumishi wenzetu hufanya maana muda wote tuko utumwani makambini mwetu au nje tukihakikisha Taifa liko salama.
Wizara ya Ulinzi na Wizara ya Mambo ya Ndani tunakuomba uchukue hatua za haraka kutunusuru na ugumu huu wa maisha. Mama njaa haifichwi kamwe.
Tunakupenda sana lakini tuna njaa inayotishia ufanisi wa kazi zetu kama Askari wa nchi hii.
Kazi njema mama.