Ukiondoa JWTZ , Magereza , JKT.
Waliobaki kuna swali kubwa la productivity yenu! Sina uhakika sana kama ni matumizi mazuri kuwaongezea posho hasa idara hii yenye watu wa usalama barabarani!
Ingekua ni perfomance based remuneration - wengi wenu msingetoboa!