Kigezo cha ajira kwa waalimu iwe GPA

Kigezo cha ajira kwa waalimu iwe GPA

Kuna raia GPA zao ni za kawaida sana ila wana uwezo mkubwa sana wa kufundisha na wakaeleweka kuliko hao wenye mi GPA mikubwa ya kukariri mambo na si kuelewa.
 
Kuna raia GPA zao ni za kawaida sana ila wana uwezo mkubwa sana wa kufundisha na wakaeleweka kuliko hao wenye mi GPA mikubwa ya kukariri mambo na si kuelewa
Hata darasa la saba kuna watu waliokuwa na uwezo lakini mtihan wa kuhitimu elimu ya msingi ukifeli huendi kidato Cha kwanza kwa iyo kipimo Cha elimu yetu ni ufaulu na si vinginevyo
 
una roho kubwa inakusumbua..
Sina uroho ila njia tunayoitumia kwa mfumo wa elimu ni utahini kupitia NECTA,NACTE Na UE mfano darasa la kwanza mkaanza laki 9 la saba mkamaliza laki 6 na kidato Cha nne laki 3 six laki 1 na chuo elfu 50 madaraja hayo yamezalishwa na mifumo yetu ya elimu lazima tuieshimu kwenye kutoa ajira hapo hakuna upendeleo ila kutumia dhana ya kujitolea ambayo waziri kakiri Kuna udanganyifu ya uhalisia wa waliojitolea ni kuendekeza rushwa
 
Hiv huna habari kuwa hata hizo GPA baadhi ya vyuo zinapatikana bure kabisa, GPA sio kipimo bo

Hiv huna habari kuwa hata hizo GPA baadhi ya vyuo zinapatikana bure kabisa, GPA sio kipimo bora.
Vitumike vigezo vyote kuanzia matokeo ya kidato Cha nne maana Kuna wengine walipata four ya 29 na anachaguliwa anaachwa aliepata three hapa pana ukakasi
 
Ni ukweli.Ubora wa mwalimu ni experience na expertise.
Expertise ni GPA, experience ni kujitolea.
Hakuna aliejitolea kilichofanyika ni baadhi ya wakuu wa shule walihamasisha wazazi wachangie mchango kukabiliana na upungufu wa waalimu ndio maana shule zilizowekwa ni zile za mjini pia kuna watu wametumia chance kupata kuanzisha tuition.mfano halisi kuna shule mbili ni za A - Level huku masasi yaani ndwika wasichana na chiungutwa sekondari hazina waalimu wa history na geography walichokifanya ni kuwatumia graduate kwa posho ya 250K .
 
Inawezekana wewe ni mnufaika wa mgawo wa GPA.
GPA si kipimo sahihi hasa kwa vyuo vya private
GPA ni kigezo muhimu na hiyo ndio msingi wa measurement and evaluation na ndio mfumo tunaotumia kwenye elimu ndio maana mwenye four kidato cha nne hana sifa ya kusoma kidato cha tano
 
Mfumo wa wahitimu wote wamepitia mitihani hivyo maamuzi sahihi nikutumia njia hiyohiyo hivyo GPA ndio njia sahihi nje ya hapo ni kuruhusu nepotism,rushwa na upendeleo
Utakuwa timamu kufananisha GPA za chuo kama UDSM na MWECAU/TEKU.

wewe huna akili
 
Naona sahizi kila mtu anataka serikali iajiri kulingana na vigezo alivyonavyo yeye binafsi.
 
Watu mnachekesha sana mi nafikiri mpaka unafikia ku graduate unakua na sifa tosha za kufanya kazi ulosomea. Hayo mambo ya GPA ya ngapi ni blah blah.
 
Sina uroho ila njia tunayoitumia kwa mfumo wa elimu ni utahini kupitia NECTA,NACTE Na UE mfano darasa la kwanza mkaanza laki 9 la saba mkamaliza laki 6 na kidato Cha nne laki 3 six laki 1 na chuo elfu 50 madaraja hayo yamezalishwa na mifumo yetu ya elimu lazima tuieshimu kwenye kutoa ajira hapo hakuna upendeleo ila kutumia dhana ya kujitolea ambayo waziri kakiri Kuna udanganyifu ya uhalisia wa waliojitolea ni kuendekeza rushwa
Mkuu fuga kuku au tafta kishule cha private upige kazi hizi ajira za serikali zitakutia uchizi bure.
 
Naona sahizi kila mtu anataka serikali iajiri kulingana na vigezo alivyonavyo yeye binafsi.
Ni ufala na mimi nitakuja Serikali iajiri Vyuo vya serikali maana jamaa limesoma Teku wamejaziana Gpa za chupi analeta ujinga
 
Back
Top Bottom