Kila muislamu ni kiongozi hilo la kwanza.
Uislamu hauendeshwi na matamko ya mtu kama vikundi vyenu vya ngoma sijui TEC ,mtu yeyote anaweza kuswalisha ,kufungisha ndoa ,kutoa mawaidha kikubwa awe anajua.
Uislamu unamuandaa binadamu awe independent na sio kwenda kutubu dhambi kwa binadamu mwenzio..
Uislamu umesititiza elimu zote yaani ya mazingira na akhera ,pia uislamu haumpi cheo mtu cha elimu bali anapewa uwezo wa kuwa khalifah(kiongozi) kuanzia ngazi ya familia na kweny jamii hususani mwanaume.
Utoaji wa fatwaah katika uislamu kutoa maamuzi ni kufanya marejeo ya mafunzo ya kidini bila kuongeza mambo kwa matamanio ya mtu.
Uislamu ni sheria kamili na shehe (shekhe) hata wewe unaweza kuitwa shekhe ina maana uislamu elimu inabaki kumsaidia mtu binafsi na sio kudhoofisha na kushia watu wengine akili.